Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kiherehere kama muuza gongo; si usubiri wenye Ukawa wenyewe watangaze; kwani wewe ndio umekuwa afisa habari wa UKAWA?! kupenda sifa kutakuponza Dude!! Mwanamme huna kifua cha kuhimili mambo kama Demu?! mdomo unakuwashawasha kuropoka tu!?
ukawa watakuwa wamefanya kosa kubwa sana, uadilifu tunaouimba kila siku utatoka wapi mbele ya mtu tuliyemwima fisaadi miaka yote hii? Labda km kuna mengine yamejificha lkn naanza kukosa raha
Haitakaa iwe
Lowasa siyo fisadi na mungu ni shahidi wa hili. Yote yanayosemwa juu yake ni chuki za baadhi ya watu juu ya mafanikio yake. Wenye ushahidi wa ufisadi wake wauweke hapa au wampelekee IGP. Ikiwa Lowasa ataamua kwenda CHADEMA , CDM wanayo haki na waji wa kumpokea kama walivyokaribishwa wengine bila kujali hizi kelele za vyura. Naamini kupitia Lowasa Nchi yetu itasonga mbele kwani maovu yote ya CCM yatakoma. KARIBU CDM Mheshimiwa Lowasa-mkombozi wa Watanzania.UKAWA watakuwa wamefanya kosa kubwa sana, Uadilifu tunaouimba kila siku utatoka wapi mbele ya mtu tuliyemwima FISAADI miaka yote hii? labda km kuna mengine yamejificha lkn naanza kukosa raha
Wote hao unaowasema hawakuwa na kasfa yoyote,ni wazi CHADEMA ikimpokea itapoteza robo tatu ya wanachama wake na inaweza kuwa ndio mwisho wa siasa za upinzani Tanzania hadi generation nyingine,kwani watu wanachokichukia na ambacho kimewafanya wahamie upinzinzani kitakuwa hakipo kabisa,hii itakuwa ni highest degree of the betrayal of the people's trust.Kwani ni ajabu Lowasa kujiunga CHADEMA??
Alijiunga Dr Slaa toka CCM,wakampokea,
Mtei mwenyewe alikuwa CCM,sasa nani
alikuwa KANU hapo??
Acheni utoto,