Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu naona hayuko sawa kbsa.aje udsm cafeteria saa Saba mchana tunavosukumana Afu anasema bdoo Hatujasoma bdo.wkti tunaacha kaka zetu nyumbani tena graduates wa computer science wanakodisha movie za kibongo kwenye vibanda na ucku wanaenda kua ma-dj kwnye vigodoro.vyeti vyao ni second class tena wengne upper wanakosa ajira Afu bdo anasema hatujasoma..yni anazidi kunitia Hasira..kweli Tajiri hawezi kuongoza mSikini Anachukulia vitu easy easy sanaMgombea urais anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyonda ukawa amesema, kila mtanzania anatakiwa aneemeke na rasilimali zake zilizomo nchini sio wageni.
Pia akaongeza akipata ridhaa kuwa rais atahakikisha elimu inatawala kwa kila rika ili iwasaidie watu kujiajili kwani bila elimu huwezi leta viwanda, maana viwanda bila elimu haiwezekani.
Akaongeza ukileta viwanda watanzania hawana elimu ya kutosha kwani itabidi kuajili watu toka nje na kuajili tena watanzania na kuwa madei waka hiyo kitu hataki.
Elimu kwanza, watanzania wasome na wasimamie viwanda wao wenyewe na kuongeze pato la ndani la taifa.
Hiyo kauli iko sawa kweli?
View attachment 297290
Tatizo lako unajidharau wewe mwenyewe kwanza. Acha hao wakenya na waganda wakuendeshe puta ilhali una kisomo zaidi kupita wao. Lowassa hawezi kukusaidia kwa hilo. Sana sana atakachofanya ni kuendelea kupiga dili pindi aingiapo ikulu. Kalagabaho.Mimi nimefanya kazi shirika flan la UN Aisee wanaokula mpunga mnene ni wakenya na waganda na watu wengine kutoka mataifa mbali mbali ya Africa, Asia, ulaya na marekani. Sisi wa TZ tulikuwa kama vibarua halafu ndo graduates. Jamani!! Tuboreshe Elimu. Tunadharaulika sana. Mimi naunga mkono juhudi za Lowassa kuhusu ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Mimi nimefanya kazi shirika flan la UN Aisee wanaokula mpunga mnene ni wakenya na waganda na watu wengine kutoka mataifa mbali mbali ya Africa, Asia, ulaya na marekani. Sisi wa TZ tulikuwa kama vibarua halafu ndo graduates. Jamani!! Tuboreshe Elimu. Tunadharaulika sana. Mimi naunga mkono juhudi za Lowassa kuhusu ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Mwaka huu utaongea mpaka kichina lakini usibane masaburi dawa iingie vizuri usije ukavunja sindano hamna jinsi utakayopona kama dose haitokamilika halafu mwishoni utalainishwa na mpini tarehe 25So, the current plants/factories we do have now, how are we operating them? The dude is a fool and dumb.
Kusema lazima tusome kwanza wakati wahitimu kibao ambao ni wasomi..mana yake wamekwisha soma wanatafuta kazi na eti tuanze kusoma kama vile hakukuwa na shule ndio tujenge viwanda naona ni "Mtindio" wa akili!!! Watanzania waliokwisasoma na wanaotafuta kazi/ au wajasiriamali tayari wapo wanachohitaji ni kuwezeshwa..Lowassa na sio kupelekwa tena shule! Lkini kiwanda kikijengwa waajiriwa watafunzwa namna ya kuendesha hivyo viwanda!!!
Huyu naona hayuko sawa kbsa.aje udsm cafeteria saa Saba mchana tunavosukumana Afu anasema bdoo Hatujasoma bdo.wkti tunaacha kaka zetu nyumbani tena graduates wa computer science wanakodisha movie za kibongo kwenye vibanda na ucku wanaenda kua ma-dj kwnye vigodoro.vyeti vyao ni second class tena wengne upper wanakosa ajira Afu bdo anasema hatujasoma..yni anazidi kunitia Hasira..kweli Tajiri hawezi kuongoza mSikini Anachukulia vitu easy easy sana
Tatizo lake anashindwa kutambua kuwa ELIMU YA BURE VIDUDU HADI CHUO kuanzia januari kwa Tz bado hatujafika huko, linaweza likafanyika hilo kama watafosi ila 'wasomi' wataotoka hapo ni MAJANGA. Hivi jamaa anashirikisja timu yake kufikiri au anasema tu kufurahisha 'nyomi' zake?
Tatizo lake anashindwa kutambua kuwa ELIMU YA BURE VIDUDU HADI CHUO kuanzia januari kwa Tz bado hatujafika huko, linaweza likafanyika hilo kama watafosi ila 'wasomi' wataotoka hapo ni MAJANGA. Hivi jamaa anashirikisja timu yake kufikiri au anasema tu kufurahisha 'nyomi' zake?
Kusema lazima tusome kwanza wakati wahitimu kibao ambao ni wasomi..mana yake wamekwisha soma wanatafuta kazi na eti tuanze kusoma kama vile hakukuwa na shule ndio tujenge viwanda naona ni "Mtindio" wa akili!!! Watanzania waliokwisasoma na wanaotafuta kazi/ au wajasiriamali tayari wapo wanachohitaji ni kuwezeshwa..Lowassa na sio kupelekwa tena shule! Lkini kiwanda kikijengwa waajiriwa watafunzwa namna ya kuendesha hivyo viwanda!!!
Nafasi gani ambayo kwa sasa nchini hakuna raia wa kushika huko viwandani??!!!Kwani uongo?bila elimu tutaishia kuwa wafagiaji na walinzi.Nani atakupa ubosi wakati kichwani hamnazo.Elimu,Elimu,Elimu.Huyo wa viwanda kama atatumia umeme wa power bank sawa!.
Lowasa ana vision, maamuzi, ufuatiliaji na ni mzuri kutoa maelekezo kuliko Magufuri, Magufuri si kiongozi bali ni mtendaji.
Suala la kutoa elimu bure kama anavyosema Lowasa linawezekana kabisa. Libya iliweza kutoa elimu, huduma za afya nzuri, huduma za bima na nyinginezo bure kwa miaka mingi kwa ajili ya mafuta tu waliyokuwa nayo. Kwanini Tanzania ishindwe wakati ina gesi, mafuta, dhahabu, almasi, Tanzanite na mbuga za wanyama?. Kinachokosekana katika Tanzania ni Uongozi bora pamoja na mfumo sahihi. Lowasa ni kiongozi bora wala si bora kiongozi, na Chadema wana mfumo mzuri si kama wa CCM. Lowasa ndani ya Chadema ataleta mabadiliko chanya kwa Tanzania na kwa faida ya Watanzania wote.
Lowasa ana qualities za uongozi. Watanzania tusifanye makosa 25th October 2015. Chagua Lowasa, chagua mabadiliko ya kuelekea kwenye maendeleo tuliyonyimwa na CCM kwa miaka 50 iliyopita.
Hao vibatua wengine wana elimu ya kidato cha sita na pengine chuo!Tuache ushabiki.leo hii vibarua kiba viwandani ni wazawa na waajiriwa wachache wanaolipwa kiduchu kwa kua elimu zao hazina vigezo.wageni wanachukua nafasi nyeti zote.kikubwa kinachoitajika ili watu wajitambue ni elimu.vingine vitajizaa kama matunda ya elimu bora.
Mgombea urais anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyonda ukawa amesema, kila mtanzania anatakiwa aneemeke na rasilimali zake zilizomo nchini sio wageni.
Pia akaongeza akipata ridhaa kuwa rais atahakikisha elimu inatawala kwa kila rika ili iwasaidie watu kujiajili kwani bila elimu huwezi leta viwanda, maana viwanda bila elimu haiwezekani.
Akaongeza ukileta viwanda watanzania hawana elimu ya kutosha kwani itabidi kuajili watu toka nje na kuajili tena watanzania na kuwa madei waka hiyo kitu hataki.
Elimu kwanza, watanzania wasome na wasimamie viwanda wao wenyewe na kuongeze pato la ndani la taifa.
Hiyo kauli iko sawa kweli?
View attachment 297290
Umesema cha maana sana. Wasomi wapo kibao na vyuo vinawatapika kila mwaka, wapo mitaani hawana kazi. Ndo hao wa kwenda kuanza huko viwandani.
Kutokana na ushabiki wa kijinga wapo watu wanao kebehi sera hii ya Mh. Lowassa. Pasipo Elimu bora mtanzania ataendelea kuishia kuwa omba omba mpaka siku ya mwisho. Kuna mambo mengine kwa kweli inatubidi tuweke ushabiki pembeni. Hivi ni kwanini mitambo yetu ya umeme ikiharibika hapa ni mpaka tusubiri bwana fundi kutoka USA, Wenzetu wakiugua ni lazima waende Marekani ama India kwa mabingwa. Tusifanye makosa kwa kuto kuliona hilo jambo hata kama mimi na wewe hatuhitaji kwenda shule lakini tuwape wale wengine Elimu yakutosha ili waweze kutusaidia. Simu nayotumia mimi leo imetengenezwa na mtoto wa kichina wa miaka 12. Kwanini isiwe watoto wetu.