Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Mimi nimefanya kazi shirika flan la UN Aisee wanaokula mpunga mnene ni wakenya na waganda na watu wengine kutoka mataifa mbali mbali ya Africa, Asia, ulaya na marekani. Sisi wa TZ tulikuwa kama vibarua halafu ndo graduates. Jamani!! Elimu. Tunadharaulika sana. Mimi naunga mkono juhudi za Lowassa kuhusu ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Tibaijuka alikuwa Boss UN HABITAT, Migire naibu katibu mkuu UN ! Bolshevick jipange !
Last edited by a moderator: