usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Yani n kama wale Yule wa mwainguniBongo ukiwa tu muongeaji bas unapata kazi. Watangazaj weng hata hawajasomea hiyo fani ila tu midomo yao ndo inawapa ulaji
Na Yule wa mziki mnene yani hawa wote
Wanaingia mchana vind vyao alaf
Wanachosema n hakuna Zaid n umbea tu