reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Steve mdananda hilo linajulikana kitambo kingi sana..naona wanamwaga kuku tule watajua wenyewe!Yaani ukiona dada mrembo nikiongozi,ogopa sana! Leo kama umesoma huko IG wameanza kuvuana nguo kuhusu vyeo vyao vya kupeana huko! Mwenezi mstaafu na msanii wa maigizo wamefumuana huko hatari
Polepole silent killer