Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Shida hata uufanyie nini mwili kila kipindi huwa kina wakati wake ukipita hata ufanyaje haurudi ndio yaliyo mkuta wema. Mobeto hata mtoto wa kwanza alitoa mafuta tumboni. Kiukweli mimi sionagi big deal na makalio sijui vile ni mwanamke
Sasa wewe si unalo traco la asili?
 
Hakuna work ethics wala hakuna professional actors au actresses. Kupata line tu unatoa kitu au mjuane.
Bongo movie wana angalia uzuri, sura,makalio nk na kwa wanaume mashombe shombe, walamba lips kibao.

Nilichoka siku moja na tizama mziki Maisha Magic Bongo nikaona trailer, mpaka Nicole Joyberry nae muigizaji 😀😀, yaani bongo movies siku hizi talents hawa angalii kabisa.
 
Bongo movie wana angalia uzuri, sura,makalio nk na kwa wanaume mashombe shombe, walamba lips kibao.Nilichoka siku moja na tizama mziki Maisha Magic Bongo nikaona trailer, mpaka Nicole Joyberry nae muigizaji 😀😀, yaani bongo movies siku hizi talents hawa angalii kabisa.
BornLupita Amondi Nyong'o[1]
1 March 1983 (age 38)
Mexico City, Mexico
Citizenship
  • Mexico
  • Kenya
Alma materHampshire College (BA)
Yale University (MFA)
OccupationActress
Years active2005–present
Parent(s)
Relatives
AwardsFull list

Wakati Lupita ana shahada ya uzamili katika sanaa
 
Hata mimi nafikiri hivo pia kwa Wolper na yule Ben 10 wake!
Wolpa sasa nae hana lolote hivi unajua alivoenda kujifungua Agha Khan alichangiwa bills za operation? Anaishi maisha ya drama Sanaa!na Hata zile show off ana bwana ake anamhonga yule rich mitindo unaambiwa sio kivile pesa!

Anadanga kama kawaida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom