Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kikubwa kukubali tu hali yako na kula vizuri. Uwoya hela za kyhongwa kipindi tessychocolate kamuibia danga lake alipauka kweli kweli hapa mjini
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka alikua Hata kutembea hatembei anakaa ndani tu na stress juu!ila katelefon kamrudisha mjini baasi tunakomaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anaupiga mwingi nje ndani!hatarii hatarii!yaani hawa makodi yetu wanayachezea kwelii
 
Misifa shosti bibi yule zile fotoshuti za Hyat kumbe alihongwa na danga lake kibosilee pesa za kufanya 40 ya mtoto katia kwapani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…