Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Katele alivunja uchumba wa mtu yaani alindatisha mdada aka Leta madharau kwa mshikaji wetu! Aka mpa stress haswa jamaa alidukua cm ya mdada alucho kutana nacho Ana sema hakuwahi dhania aisee! Bidada alikuwa Hadi ktk misafara ya katele yupo! Mwisho alibwagwa akaanza kusumbua misamaha ya hapa na pale! Jamaa aka mjibu ukitaka kurudi kwangu twende tukapime afya aligoma Ila kawe kwa na katele serikalini Ana jiachia hatari amekuwa mlezi wa wana!
Duuh unamsemea yule mbuge wa kule gerezani?
 
Mkuu hebu tulia upangilie vizuri....udaku wako mtamuu sanaa
 
Katele alivunja uchumba wa mtu yaani alindatisha mdada aka Leta madharau kwa mshikaji wetu! Aka mpa stress haswa jamaa alidukua cm ya mdada alucho kutana nacho Ana sema hakuwahi dhania aisee! Bidada alikuwa Hadi ktk misafara ya katele yupo! Mwisho alibwagwa akaanza kusumbua misamaha ya hapa na pale! Jamaa aka mjibu ukitaka kurudi kwangu twende tukapime afya aligoma Ila kawe kwa na katele serikalini Ana jiachia hatari amekuwa mlezi wa wana!
Mr in-box naye mbona anapenda mizigo ambayo imesoma mamia ya km au anapendea umaarufu?
 
Kale huwa kana hizo pigo, afu kanaplay u humble... ila mjane nae akili aliziweka wapi kuwekeza akawa km nyumbu
Mjane na msikitikia kweli, kwa sasa anaishi kwenye mawazo na hajaambukizwa chochote tujifunze kuwekeza vyetu. Ila mashoga wamemkimbia mwenzao tabia mbaya hyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom