Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Inaonekana anapenda vitu vya mtumba
Huyo akipga anaenda street kwenye point
Na anajua hapa hachomoi bas yeye
Anamwaga Tu shda yake
Alaf mzgo nao ushasoma Sana Km
Anajua hauwez kataa

Sasa n tofaut na kina Paula wakianza
Mambo ya kuchat nan anataka
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyo akipga anaenda street kwenye point
Na anajua hapa hachomoi bas yeye
Anamwaga Tu shda yake
Alaf mzgo nao ushasoma Sana Km
Anajua hauwez kataa

Sasa n tofaut na kina Paula wakianza
Mambo ya kuchat nan anataka
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kumbe ndo huwa lengo kwa hao watu wazima eeh
 
Huyo akipga anaenda street kwenye point
Na anajua hapa hachomoi bas yeye
Anamwaga Tu shda yake
Alaf mzgo nao ushasoma Sana Km
Anajua hauwez kataa

Sasa n tofaut na kina Paula wakianza
Mambo ya kuchat nan anataka
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahah huo utoto wa kutongoza tunafanya vijana.Wakubwa wanaweka order tu kupitia mawakala😅 wao wa kuaminika!

Kuwadi akija anaomba account number kwanza anainject mpunga wa kukukata wenge kisha maongezi yanaendelea! Unaambiwa huo ni mwanzo tu, unataka nini katika haya maisha wewe? Hebu twende mzee anakungoja Serena hapo😅😅😅
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom