Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Leo nimegundua kumbe na mimi mpana. Yani code nyingi nimeshangaa watu wanahangaika mie nazipata kirahis. Inabid nibadilike [emoji38]
Kaz ya ntu ni Ile amezoe[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kaz ya ntu ni Ile amezoe[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] jamani. Inabid nitafute dawa ya kubadilika chaaaa
 
Unaweza futa ig lakin mambo yakakufuata huku. Kufuta JF haiwezekani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]taabu ndo iko hapo

Mtu tukikosa bundle la kuingia jf tunaumwa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hakuna G5 wala G7 mwenye mizizi kakata baasi kila mtu na lwake!
Ukiskia kwa shida na raha ndio hio sasa😅! Lazma itafikia wakati mtambue kwamba hata dagaa nae ni mboga kama Sato tu sema mnofu ndio hajabarikiwa na mchicha sio chakula cha mbuzi!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]woiiiii!!!hureeeee!!!!ahsante studiooo!baasi ukute nae ana minyenyere etiii!!!duuhh!dada dekiii!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…