Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Huko sio kijichi kweli! Kama upande wa Kijichi sawwInapakana na kigamboni niliwahi kwenda kwa ndugu nilipenda pametulia mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko sio kijichi kweli! Kama upande wa Kijichi sawwInapakana na kigamboni niliwahi kwenda kwa ndugu nilipenda pametulia mno
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Stivu anajua hana shule udananda ndo ajira yake!!!lazima aplay cards vyemaa...ila kuna saa anatamani kua demu!
😅😅😅😅😅 shetani akawilii kufanya jambo lake hapoSiku sio nyingi unawakuta wako
Wamesuka na sare[emoji1][emoji1][emoji1]
Sio rangi tatu mimi nilitokea kigamboni kwenda hukoMbagala kuu ndio iko upande upi bibie? Mbele ya rangi 3 au nyuma
Wanaroga ka hawana akili sawasawa....!!!mapenzi yenyewe zero tuu!Madem wa kitanga malimbukeni mno halafu wachawi kichizi[emoji28]
Ndio kijichi ile si mbagara yote mkuu kule kama umefika ni kuzuri mnoHuko sio kijichi kweli! Kama upande wa Kijichi saww
Sawa kwa huko naweza kubali ila sio ule utopolo wa Rangi tatu ndani ndaniSio rangi tatu mimi nilitokea kigamboni kwenda huko
Kijichi kumepangika na wanakaa watu wanaojielewaNdio kijichi ile si mbagara yote mkuu kule kama umefika ni kuzuri mno
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dagaaa what?!!!hajabarikiwa minofuuu!!!Ukiskia kwa shida na raha ndio hio sasa[emoji28]! Lazma itafikia wakati mtambue kwamba hata dagaa nae ni mboga kama Sato tu sema mnofu ndio hajabarikiwa na mchicha sio chakula cha mbuzi!
Mimi nasema kijichi mbagara kuu karibu na nyumba za serikaliSawa kwa huko naweza kubali ila sio ule utopolo wa Rangi tatu ndani ndani
Hahahahah zile Vacation ilikuwa oya oya enzi za Msoga Empire[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dagaaa what?!!!hajabarikiwa minofuuu!!!
Yaani siku hizi wamepoa balaaaa!!hakuna vacation za ajabu ajabu wala nini!kila mtu katulia na mmewe!
Hana uwezo wa kujenga msanii mwenye nyumba nna hakika ni 100%ni walezi wa vibe10 wale wawili mama misosi na mama biskuti tena mama biskuti ana duka moja matataa kkoo demu yule ana akili za kinyaki haswaaa!!Hahahahahah ila hawa Mastaa wetu bana ni kipengele! Star anakaa nyumba ya kupanga Mbagala[emoji28]??? Bora angekuwa hata kapanga Masaki
Ewaaaa!!!kabisaaa!Bila shaka ni yule bishoo macho ma 4 mwenye shepu ya Jei Bii[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo kwa mama biskuti nikupe mji, uende kwa shangaz wa bongo muvi! Waenda humo?Hana uwezo wa kujenga msanii mwenye nyumba nna hakika ni 100%ni walezi wa vibe10 wale wawili mama misosi na mama biskuti tena mama biskuti ana duka moja matataa kkoo demu yule ana akili za kinyaki haswaaa!!
Code nyepesi sana ukiwa mtembezi wa Jamhuri ya wana Insta😅Ewaaaa!!!kabisaaa!
Acha kabisaaa mzee akaona hapana akapiga goti kuomba aachwe mwanawe ....bure ghali raha kupokea tuMzee alikuwa anapokea Magari tu kama zawadi za bethdei[emoji28] mie nikiwa Ushirikani pale maana mzee alikuwa staff katika ile taasisi!
Kumbe ni kwa hisani ya mzee machache [emoji28][emoji28][emoji28]
Heheheheh kweli vya bure aghali😅Acha kabisaaa mzee akaona hapana akapiga goti kuomba aachwe mwanawe ....bure ghali raha kupokea tu
Dah basi jamaa atakuwa anapenda mawowo.... Maana hata mama ya Coona naye wowowo limoHuyo katelephone Hadi kwa shishi beibe kashapita naye huyo in short sio uwoya tu hata bongo movie wengine
Sema body haijachakaa sana😂! Bado inauzika sokoni tatizo ni Engine ndo imetiwa spana sana😅😅😅 vijana wakishatest mlio wa engine wakskia zile noki wanasepa kimya kimyaMbususu inasoma plate number A kwa sasa,maana wameichakata wanaume wa kila design aiseeee! Ila maisha ni noma sana!
Hivu Njeki bado yuko kwa mkaburu tu 😅😅😅Njeki kamwaga sana mabeberu pale,sasa unadhani atakosa??