JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #1,301
Wewe ladha zinabadilikaga ukizoea mweupe unatamani mweusi, ukizoea mnene unatamani mwembamba, yaani flavors.Kama nimemwelewa ila sioni kama ana viwango vya kumtikisa mtima hayati jabali [emoji28]! Nakumbuka Jabali alikuwa mzee wa rangi za ndizi kisukari