Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Shida inaanzia hapo [emoji23][emoji23][emoji23] ukishakuwa mtu mzima lazima ujizuie, kwahiyo waliye mfuma naye ndiye kamuoa?Vya kuiba vitamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida inaanzia hapo [emoji23][emoji23][emoji23] ukishakuwa mtu mzima lazima ujizuie, kwahiyo waliye mfuma naye ndiye kamuoa?Vya kuiba vitamu
Mwingine ndo kamuoa Kama skoseyShida inaanzia hapo [emoji23][emoji23][emoji23] ukishakuwa mtu mzima lazima ujizuie, kwahiyo waliye mfuma naye ndiye kamuoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu aibu kaolewa na mwingine? Bora angekaa mwenyewe awe anadanga kimya kimya ha ha ha ,Mwingine ndo kamuoa Kama skosey
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Utam hauna cha uzee wala kijana
Kati[emoji2960][emoji2960] patamu pale [emoji87][emoji87][emoji87]
Kumbe Paula naye kabeba mimba, joketi kaamua tu azae zake mtotoNa kuna uezekano kidot na Paula wakazaa
Kwa wakat mmoja watapishana siku kadhaa
Tu
Paula inasemekana hvo sasa Cjui niKumbe Paula naye kabeba mimba, joketi kaamua tu azae zake mtoto
Bora ajizalie zake mtoto kwa kweliPaula inasemekana hvo sasa Cjui ni
Kiki Tu ama kuna endaje JoJo naona
Anataka Tu mtoto aitwe mama hata
Kama hataolewa
Kaluka nae sanaaa,,.Ile wakati Kama ndombolo hakupita
Cjui aisee
Atakua likizo labda maana tangu wiki iliyopita hakuwepoBarbra Hasan ndo ameacha Kaz clouds
Au?? Leo wamemuweka mzee wa mitulinga
Mtangazaj wao mpya! Alaf kwenye list.
Dada hayuko.......hapa mawingu watakua
Wameanguka kwakweli
Likizo ya uzaz labda maana Kama likizoAtakua likizo labda maana tangu wiki iliyopita hakuwepo
Lolote linawezekana ngoja tuone na kingine wana shoo yao ye na jideLikizo ya uzaz labda maana Kama likizo
Hiv hiv dhuuuu ndo wafanye na replacement
Kwa likizo ya mwez mmoja
Hii show mbona haina vibe kiivo sasaLolote linawezekana ngoja tuone na kingine wana shoo yao ye na jide
Hahahahahaa na wanaipa promo hatarHii show mbona haina vibe kiivo sasa
Nhc wamefanya hivyo labda ili kupromote show ya prof j na jaydee amby itafanyika mwisho wa wiki hiiLikizo ya uzaz labda maana Kama likizo
Hiv hiv dhuuuu ndo wafanye na replacement
Kwa likizo ya mwez mmoja
Dhuuuu bas ngoja tusubir yajayoNhc wamefanya hivyo labda ili kupromote show ya prof j na jaydee amby itafanyika mwisho wa wiki hii
Anatumia hela yake kusafisha nyota na rungu.Yeye huwa hajali Hilo aache kuji associate na wanaume type hzo maarufu ataumia bure tu ka kipindi cha kiba. Yeye mobeto katoka mda si mrefu na kaka hana mapenzi yeye anataka umaarufu kwa wadada wa mjini
Apo na kaulinz kwa mbaaaal et anatoka na serikali so madili yake kwa kwenda mbeleHuyo mkinga wako anataka umaarufu kinguvu ndio maana anatumia hao mastar na sasa yuko kwa kidoti na kahaaidi hadi ndoa hapo na kidoti kaamini wakati ana mke. I feel sorry kwa mkewe.
Wamitulinga ni promo ya the icon show yaoBarbra Hasan ndo ameacha Kaz clouds
Au?? Leo wamemuweka mzee wa mitulinga
Mtangazaj wao mpya! Alaf kwenye list.
Dada hayuko.......hapa mawingu watakua
Wameanguka kwakweli
S2k huu umeme unatokea kituo gani code tafadhali.....alaf vad ndo zake kumbe ila sishangai mana wakat akiwa mawinguni alikua anawashobokea sana serengeti boys, kumbe kipind kile ana shoboka kwa heri muziki kumbe chini palikua pana pwita pwita enhee....S2keez bebi...analamba umeme tu. Halaf wanaa wanatindua bila huruma...kuna dogo mmojaa anaitwa heri muzik..mtoto mdogo akaendaga kuyavagaa kwa vadi..daaah.nkasema hiv hawa watoto waadogo wanamjua vadi kweli...
Kijana ana date kufata masilahi huyo Jojo ndo alimpa connection ya uvccm so no real love hapo ni kutumiwa kwa mremboApo na kaulinz kwa mbaaaal et anatoka na serikali so madili yake kwa kwenda mbele