Mtu Alisha inunua timu miaka 5 iliyopita na mpaka Sasa anasema ameshatumia zaidi ya bilioni 55 ukiacha billion 20 za uwekezaji alafu anatokea mpuuzi mmoja anasema aondoke!!
Hii Nchi inavituko
aliuziwa na nani? mchakakato wa manunuzi ulifanjika vipiMtu Alisha inunua timu miaka 5 iliyopita na mpaka Sasa anasema ameshatumia zaidi ya bilioni 55 ukiacha billion 20 za uwekezaji alafu anatokea mpuuzi mmoja anasema aondoke!!
Hii Nchi inavituko
Anadema simba ni mali yakeKuna clip iko mitandaoni anasikika akisema Kainunua Simba na Sio kawekeza
Mo anasema simba ni mali yake binafsi aliinunua miaka mitano iliyopitaMo ni tapeli,tajiri gani anatoa tu hela halafu hafuatilii matumizi kama anavyodai?halafu mhindi miaka miwili mfulululizo unatoa tu hela?kwanini matamko yake ni wakati club inapoingia makundi na robo? Luambano ana hoja la msingi kwamba Mo hatoi hela ndo maana wananunuliwa wachezaji magara.
Machaguo ni mawili, either Mo ajiingize Simba mazima au aondoke kabisa.
Mimi nadhani mfumo wa uongozi wa Simba bado una mapungufu ndio maana hatuelewi nani ashikwe uchawi, kwa mujibu wa katiba Mangungu ndio boss wa timu lakini kwenye uhalisia hana tofauti na Ahmed AliMo kutoka simba labda muigawe simba 51% kwa 49%.
Nyie shinikizeni uongozi mpya
Try again na C.E.O wawapishe
Majula kwa football hawezi kabisa
Mo yuko mbali sana kwa kuanza kumhoji
Hela anatoa
CEO aulizwe yeye ndio mtendaji mkuu kuliko mo, try again na mangungu boy
Mo anasema simba ni mali yake binafsi aliinunua miaka mitano iliyopita
Who is Luambano by the way? Yeye ni nani mpaka umnukuu hapa? Au huna kazi za kufanya tukusaidie?luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
Tajiri alisema simba imemgarimu billion 51 tanzanian shs , daah ila Mo maarifa sanaViongozi walishajibu timu haijanunuliwa,mo anajisifu tu na kutaka kuonewa huruma,kwa akili ya kawaida ananunuaje Simba kwa serikali hii? Mo mwenyewe aliwahi kusema mchakato unakwamishwa na serikali,sasa alinunua vipi?alipoona lengo lake la 51% limegonga mwamba ndo akaanza uwekezaji kidogo ili apate faida kubwa ndo maana ni kama kaisusa simba, kununua Simba ni bla bla zake tu
Kuna kipindi alisema alisitisha kununua private jet sababu ya Simba [emoji23][emoji23] huyo mhindi ni muongo sanaTajiri alisema simba imemgarimu billion 51 tanzanian shs , daah ila Mo maarifa sana
Hapa ndio namkumbuka Magufuli.Huyu mo alipaswa kutekwa tena kisha kufinywa hadi ajue Simba sio Mali yake.Anapaswa kuiacha waje wawekezaji makiniluambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
au mhindi ajiliMuhind na mpira wap na wap
Kwenye uhalisia ndio utata mwana hujui Muhene anasimama wapi na Tajiri anasimama wapi..mfn utambulisho wakati wa AFL na matamshi yao hao watu watatuMimi nadhani mfumo wa uongozi wa Simba bado una mapungufu ndio maana hatuelewi nani ashikwe uchawi, kwa mujibu wa katiba Mangungu ndio boss wa timu lakini kwenye uhalisia hana tofauti na Ahmed Ali
πππππKuna kipindi alisema alisitisha kununua private jet sababu ya Simba [emoji23][emoji23] huyo mhindi ni muongo sana
Waandishi wanapewa bahasha ili wachochee mgogoro Simba na siyo kitu kingine.Kwangu mi naona hili suala la kumlaumu mo kwa kila jambo halina afya njema. Hatutaki turudi kule tulipotoka wakati Mhina Kaduguda anatoa pesa zake mkononi kununua Maharage na Chapati kwa ajili ya wachezaji wapate kifungua kinywa asubuhi. Muacheni Mo kwa ajili ya ukuaji wa soka letu.
MO anatimiza majukumu yake kama mwekezaji, anatoa pesa za matumizi kila mwaka b 2.4. kosa lake liko wapi?Kampuni zote za kihindi lazima kuwe na malalamiko ila wafanyakazi hawaachi kazi ...mhindi siku zote ana ajiri watu cheap
Nitajie kampuni ya kihindi iliyowekeza kwenye mpiraMO anatimiza majukumu yake kama mwekezaji, anatoa pesa za matumizi kila mwaka b 2.4. kosa lake liko wapi?
Kweli wewe ni blender kabisa, yaani wewe ndio mjinga kabisaKitu kama hamkijui pesa za mo ndio zinazo fadhili Simba [emoji881] na yanga, SEMA wa tz [emoji1241] ni wajinga Sana [emoji23]
Mkuu nadhani hauelewi structure ya uwekezaji wa mo simbaUjue sijui kama mnajua ilivyo ngumu kwa MO KUTOKA Simba. Akitoka mtamrudishia bilioni 20 zake au? Mtamrudishia wakati kishafanya biashara kipindi chote? Mtamrudishia yote au nusu?
MO kishasema kainunua Simba sasa mnamwambiaje atoke. Anatokaje kwenye kitu chake?
Sio kirahisi hivyo..luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao