Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

We unaamini kainunua?
Mtu Alisha inunua timu miaka 5 iliyopita na mpaka Sasa anasema ameshatumia zaidi ya bilioni 55 ukiacha billion 20 za uwekezaji alafu anatokea mpuuzi mmoja anasema aondoke!!
Hii Nchi inavituko
 
Mtu Alisha inunua timu miaka 5 iliyopita na mpaka Sasa anasema ameshatumia zaidi ya bilioni 55 ukiacha billion 20 za uwekezaji alafu anatokea mpuuzi mmoja anasema aondoke!!
Hii Nchi inavituko
aliuziwa na nani? mchakakato wa manunuzi ulifanjika vipi
 
Mo ni tapeli,tajiri gani anatoa tu hela halafu hafuatilii matumizi kama anavyodai?halafu mhindi miaka miwili mfulululizo unatoa tu hela?kwanini matamko yake ni wakati club inapoingia makundi na robo? Luambano ana hoja la msingi kwamba Mo hatoi hela ndo maana wananunuliwa wachezaji magara.
Machaguo ni mawili, either Mo ajiingize Simba mazima au aondoke kabisa.
 
Mo anasema simba ni mali yake binafsi aliinunua miaka mitano iliyopita
 
Mo kutoka simba labda muigawe simba 51% kwa 49%.
Nyie shinikizeni uongozi mpya
Try again na C.E.O wawapishe
Majula kwa football hawezi kabisa
Mo yuko mbali sana kwa kuanza kumhoji
Hela anatoa
CEO aulizwe yeye ndio mtendaji mkuu kuliko mo, try again na mangungu boy
Mimi nadhani mfumo wa uongozi wa Simba bado una mapungufu ndio maana hatuelewi nani ashikwe uchawi, kwa mujibu wa katiba Mangungu ndio boss wa timu lakini kwenye uhalisia hana tofauti na Ahmed Ali
 
Viongozi walishajibu timu haijanunuliwa,mo anajisifu tu na kutaka kuonewa huruma,kwa akili ya kawaida ananunuaje Simba kwa serikali hii? Mo mwenyewe aliwahi kusema mchakato unakwamishwa na serikali,sasa alinunua vipi?alipoona lengo lake la 51% limegonga mwamba ndo akaanza uwekezaji kidogo ili apate faida kubwa ndo maana ni kama kaisusa simba, kununua Simba ni bla bla zake tu
Mo anasema simba ni mali yake binafsi aliinunua miaka mitano iliyopita
 
luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
Who is Luambano by the way? Yeye ni nani mpaka umnukuu hapa? Au huna kazi za kufanya tukusaidie?
 
Kitu kama hamkijui pesa za mo ndio zinazo fadhili Simba 🦁 na yanga, SEMA wa tz 🇹🇿 ni wajinga Sana 😂
 
Viongozi walishajibu timu haijanunuliwa,mo anajisifu tu na kutaka kuonewa huruma,kwa akili ya kawaida ananunuaje Simba kwa serikali hii? Mo mwenyewe aliwahi kusema mchakato unakwamishwa na serikali,sasa alinunua vipi?alipoona lengo lake la 51% limegonga mwamba ndo akaanza uwekezaji kidogo ili apate faida kubwa ndo maana ni kama kaisusa simba, kununua Simba ni bla bla zake tu
Tajiri alisema simba imemgarimu billion 51 tanzanian shs , daah ila Mo maarifa sana
 
luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
Hapa ndio namkumbuka Magufuli.Huyu mo alipaswa kutekwa tena kisha kufinywa hadi ajue Simba sio Mali yake.Anapaswa kuiacha waje wawekezaji makini

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Muhind na mpira wap na wap
au mhindi ajili
Mimi nadhani mfumo wa uongozi wa Simba bado una mapungufu ndio maana hatuelewi nani ashikwe uchawi, kwa mujibu wa katiba Mangungu ndio boss wa timu lakini kwenye uhalisia hana tofauti na Ahmed Ali
Kwenye uhalisia ndio utata mwana hujui Muhene anasimama wapi na Tajiri anasimama wapi..mfn utambulisho wakati wa AFL na matamshi yao hao watu watatu
 
Kwangu mi naona hili suala la kumlaumu mo kwa kila jambo halina afya njema. Hatutaki turudi kule tulipotoka wakati Mhina Kaduguda anatoa pesa zake mkononi kununua Maharage na Chapati kwa ajili ya wachezaji wapate kifungua kinywa asubuhi. Muacheni Mo kwa ajili ya ukuaji wa soka letu.
Waandishi wanapewa bahasha ili wachochee mgogoro Simba na siyo kitu kingine.

Why kila akifungwa Simba wanataka Mo aondoke aende wapi ?
 
Ujue sijui kama mnajua ilivyo ngumu kwa MO KUTOKA Simba. Akitoka mtamrudishia bilioni 20 zake au? Mtamrudishia wakati kishafanya biashara kipindi chote? Mtamrudishia yote au nusu?

MO kishasema kainunua Simba sasa mnamwambiaje atoke. Anatokaje kwenye kitu chake?
Mkuu nadhani hauelewi structure ya uwekezaji wa mo simba
Ipo hivi
Mo hiyo billion 20,haiweki kwenye account ya simba, bali anaenda bank kuu ananunua bonds, halafu ile faida inayopatikana ambayo ni 2.1billion kwa mwaka ndio inakuja simba
Kwa hiyo 20billion yake ipo palepale,wakikosana na simba, ela yake anaichukua
Kwa ufupi, m bet wanaweka hela nyingi kwa mwaka simba kuliko mo
 
Back
Top Bottom