MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini? Inaashiria Dr Samia kupata ushindi wa kishindo 2025 kutokana na mwamko wa vijana kama Mwashambwa.
Pia ninafurahishwa na jinsi Mwashambwa anavyoandika mambo mazuri yanayofanywa na spika kijana Tulia Ackson. Hakika HUU NI UZALENDO. Watu wengi wanamdhihaki kuwa ni chawa bila kujua Lucas anazidi kupenya kwenye mioyo ya wapiga kura. Jitihada za Lucas zitaleta kura nyingi sana kutoka upinzani.
Viva Komredi Lucas! Viva CCM! Viva Mama Samia