Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

Endelea kuamini hivyo
Ila usiache kufanya hicho unachofanya

Najua Chama kimebaki na Wazee kwahiyo ninyi ndiyo mtachukua mikoba yao kupambana kwa hoja na Chadema ambao kwa miaka mingi imewekeza kwa Vijana kule Vyuo Vikuu
 
Acha ku-promote MACHOKO JF,tafuta forum za MACHOKO wenzenu huko SHOGA wewe
Ingekuwa sio shoga usingeandika maneno machafu kama hayo. Namtupia lawama Lissu kwa kutopinga ushoga. Ameharibu vijana wa chama chake
 
Kumbe ukiwa chawa hutakiwi ufunge PM?
Nimesema hivyo kwa sababu watu wanasema niweke namba ili nipate teuzi wakati siko na mawazo hayo. Nimefunga PM ili kama kuna watu wanadhani ninahitaji teuzi washindwe kuwasiliana nami.
 
Ila usiache kufanya hicho unachofanya

Najua Chama kimebaki na Wazee kwahiyo ninyi ndiyo mtachukua mikoba yao kupambana kwa hoja na Chadema ambao kwa miaka mingi imewekeza kwa Vijana kule Vyuo Vikuu
Sihitaji uongozi wowote wa kisiasa wala wa serikalini.
 
Naunga mkono hoja, kiukweli huyu kijana sio tuu ana kipaji, ni akili kubwa na pia ana upako fulani, kwa kuanzia nitamshauri Sofia amvute pale Lumumba Idara ya uenezi, 2025 kichwa hiki kiingizwe mjengoni.
P
Haya maelezo yako hapa, yananikumbusha ile siku ulipoenda Ikulu kama sehemu ya jopo la waandishi wa habari, halafu Mheshimiwa akatoa tafsiri halisi ya neno Mayalla kwa Kisukuma.

Nakumbuka ilikuwa ni baada tu ya wewe kumuiliza swali.
 
Nchi zote zenye element za kikomunist watawala hupenda kutukuzwa na kuwekwa kitini mahali pa juu kama vile mungu yaani. Ndio maana kumpamba mtawala na kumsifia imekuwa kama order of the day na kuonekana mzalendo. Watu wapo wrong sana na kupotoka.
 
Sihitaji uongozi wowote wa kisiasa wala wa serikalini.
Kila mtu akisema hivyo ina maana tutahitaji kukodisha Viongozi kutoka Dubai waje kutuongoza sio?

Kuwa na Elimu nzuri then uje uwatumikie Watanzania kadri utakavyojaaliwa
 
Tushawazoea mbeleni huko wanaingiaga mitini

Ila wahusika wangemfikiria kumpa angalau kaposti mahali

Ova
 
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini? Inaashiria Dr Samia kupata ushindi wa kishindo 2025 kutokana na mwamko wa vijana kama Mwashambwa.

Pia ninafurahishwa na jinsi Mwashambwa anavyoandika mambo mazuri yanayofanywa na spika kijana Tulia Ackson. Hakika HUU NI UZALENDO. Watu wengi wanamdhihaki kuwa ni chawa bila kujua Lucas anazidi kupenya kwenye mioyo ya wapiga kura. Jitihada za Lucas zitaleta kura nyingi sana kutoka upinzani.

Viva Komredi Lucas! Viva CCM! Viva Mama Samia
UCHAWA NI UZALENDO?

HUENDI MBINGUNI WEWE.
 
Kiukwel kbs asee mmebarikiwa kipaji cha uchawa, kujipendekeza na kusifia viongoz 🤣🤣🤣🤣!!! NB: Huyo Lucas mwashamba ni kama mmemtelekeza anapiga ukware wa kusifu kila saa lkn hata motisha ya ukatibu kata tu mnamtosa?
 
Back
Top Bottom