Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

Hii ndio Nchi tuliyobaki nayo! wachumia tumbo wasio na haya
 
Ungeweka namba yako ya simu pia ingenoga zaidi
Mimi sio Mwashambwa. Pia sina shida ya kutaka hela kupitia siasa ndo maana hata PM nimefunga. Nina biashara zangu zinazonipatia kipato halali cha kutosha.
 
Anatuaibisha watu wa mbozi huyu
 
Sio lazima uniheshimu. Mimi nina biashara zangu zinazonipatia kipato cha kutosha na sihitaji kuwa chawa. Hata PM nimefunga.
Hicho kiherehere cha kumpamba chawa wa chawa umekitoa wapi?

Au biashara yako imebuma na do maana umepatana na chawa wa chawa?
 
Naunga mkono hoja, kiukweli huyu kijana sio tuu ana kipaji, ni akili kubwa na pia ana upako fulani, kwa kuanzia nitamshauri Sofia amvute pale Lumumba Idara ya uenezi, 2025 kichwa hiki kiingizwe mjengoni.
P
Ilikuaje wakashindwa kukuvuta ww pale cow way
 
Acha ku-promote MACHOKO JF,tafuta forum za MACHOKO wenzenu huko SHOGA wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…