Ila usiache kufanya hicho unachofanyaEndelea kuamini hivyo
Ameona hakumbukwi ndiyo ameamua kuja na backup ID kujifagilia 😅🙌Lila na fila....
Mwananchi ktk ubora wako, umeongea point mtani.Ifikie wakati muwe mnatofautisha kati ya neno uzalendo na njaa, unafiki, uchawa, ujinga, utaahira, uwendawazimu, upumbavu, nk.
Na hii na baada ya wilaya ya Mtwara kuwa wazi baada ya DC kutumbuliwaKaona kaiweka namba yake ya simu kimya teuzi zinampita sasa kaamua kujipamba😁😁😁😁kuishi mjini kazi kunahitaji AKILI ya kujiongeza
Njaa zitawamaliza.Naunga mkono hoja, kiukweli huyu kijana sio tuu ana kipaji, ni akili kubwa na pia ana upako fulani, kwa kuanzia nitamshauri Sofia amvute pale Lumumba Idara ya uenezi, 2025 kichwa hiki kiingizwe mjengoni.
P
Ingekuwa sio shoga usingeandika maneno machafu kama hayo. Namtupia lawama Lissu kwa kutopinga ushoga. Ameharibu vijana wa chama chakeAcha ku-promote MACHOKO JF,tafuta forum za MACHOKO wenzenu huko SHOGA wewe
Nimesema hivyo kwa sababu watu wanasema niweke namba ili nipate teuzi wakati siko na mawazo hayo. Nimefunga PM ili kama kuna watu wanadhani ninahitaji teuzi washindwe kuwasiliana nami.Kumbe ukiwa chawa hutakiwi ufunge PM?
Sihitaji uongozi wowote wa kisiasa wala wa serikalini.Ila usiache kufanya hicho unachofanya
Najua Chama kimebaki na Wazee kwahiyo ninyi ndiyo mtachukua mikoba yao kupambana kwa hoja na Chadema ambao kwa miaka mingi imewekeza kwa Vijana kule Vyuo Vikuu
Teuzi teuzi zamkosesha usingizi kijana wa Mbeya😁halafu kaona bora aje na Id nyingine ajifagilie baada ya jitihada za kuweka namba ya simu kugonga mwambaNa hii na baada ya wilaya ya Mtwara kuwa wazi baada ya DC kutumbuliwa
Haya maelezo yako hapa, yananikumbusha ile siku ulipoenda Ikulu kama sehemu ya jopo la waandishi wa habari, halafu Mheshimiwa akatoa tafsiri halisi ya neno Mayalla kwa Kisukuma.Naunga mkono hoja, kiukweli huyu kijana sio tuu ana kipaji, ni akili kubwa na pia ana upako fulani, kwa kuanzia nitamshauri Sofia amvute pale Lumumba Idara ya uenezi, 2025 kichwa hiki kiingizwe mjengoni.
P
Kwahiyo wewe ndio lucas si ndio 😁😁😁😁😁Sihitaji uongozi wowote wa kisiasa wala wa serikalini.
Kila mtu akisema hivyo ina maana tutahitaji kukodisha Viongozi kutoka Dubai waje kutuongoza sio?Sihitaji uongozi wowote wa kisiasa wala wa serikalini.
UCHAWA NI UZALENDO?Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini? Inaashiria Dr Samia kupata ushindi wa kishindo 2025 kutokana na mwamko wa vijana kama Mwashambwa.
Pia ninafurahishwa na jinsi Mwashambwa anavyoandika mambo mazuri yanayofanywa na spika kijana Tulia Ackson. Hakika HUU NI UZALENDO. Watu wengi wanamdhihaki kuwa ni chawa bila kujua Lucas anazidi kupenya kwenye mioyo ya wapiga kura. Jitihada za Lucas zitaleta kura nyingi sana kutoka upinzani.
Viva Komredi Lucas! Viva CCM! Viva Mama Samia
Kiukwel kbs asee mmebarikiwa kipaji cha uchawa, kujipendekeza na kusifia viongoz 🤣🤣🤣🤣!!! NB: Huyo Lucas mwashamba ni kama mmemtelekeza anapiga ukware wa kusifu kila saa lkn hata motisha ya ukatibu kata tu mnamtosa?Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini? Inaashiria Dr Samia kupata ushindi wa kishindo 2025 kutokana na mwamko wa vijana kama Mwashambwa.
Pia ninafurahishwa na jinsi Mwashambwa anavyoandika mambo mazuri yanayofanywa na spika kijana Tulia Ackson. Hakika HUU NI UZALENDO. Watu wengi wanamdhihaki kuwa ni chawa bila kujua Lucas anazidi kupenya kwenye mioyo ya wapiga kura. Jitihada za Lucas zitaleta kura nyingi sana kutoka upinzani.
Viva Komredi Lucas! Viva CCM! Viva Mama Samia