Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

Mimi sio Mwashambwa. Pia sina shida ya kutaka hela kupitia siasa ndo maana hata PM nimefunga. Nina biashara zangu zinazonipatia kipato halali cha kutosha.
Kwa level ya kumpigia debe Mwosha mbwa wewe ni chiboko
 
Nimesema hivyo kwa sababu watu wanasema niweke namba ili nipate teuzi wakati siko na mawazo hayo. Nimefunga PM ili kama kuna watu wanadhani ninahitaji teuzi washindwe kuwasiliana nami.
Kwa hiyo wewe unatafuta nini hasa hadi upoteze muda wako JF kuandika all these?
Tunajua unajipigia promo mwenyewe wewe Mwashambwa kwa hii ID nyingine, basi tuseme wewe siyo Mwashambwa, sasa ni nini kinakusukuma hadi uje umpigie promo kama siyo kutafuta maslahi binafsi?
 

Naona umeamua kuja na ID yako nyingine 😂
 
Ni hivi mtanzania huwa anatamani kuona wengi wakiwa upande wa hasi.
Binafsi sina chama ila sioni hoja za msingi za WAPINZANI tangu aingie JPM na sasa SAMIA .
Wapinzani wanaokoteza okoteza tu agenda hawaeleweki wanasimamia nini.
Fikiria eti chadema wanawaza kumrudisha kwenye ubunge SUGU jiji la mbeya wamtoe PhD holder!
Unaanza kujiuliza hivi akili zao zipo sawa !
Umtoe PhD umuweke fom six, kwa nini usitafute mwenye Phd mbili ili amtoe mwenye moja.
Sugu alifanya nini cha maana Mbeya ambacho ni mfano wa kiigwa na vijana au sisi watazamaji?
 
Huo muda niliopoteza umekuathiri vipi kwenye maisha yako? Ulitaka nimpigie promo mama yako ili ufurahi?
 
Huyo mwenye akili kama suphian za mtu mfu
 
Mtu wa mbozi huyu ni mnyiha ( tumleshe tumgoje?) Hawa watu ni kabila ambalo kutoa roho hawaonagi shida
 
Mkumbukeni kwenye teuzi zenu
 
ZAMA HIZI UPAMBUVU NAO UMEKUWA UZALENDO!
NA UKWELI UKIELEZWA, UNAONEKANA MPINZANI WA RAIS!

HAKIKA HATA SHETANI ANAWAFUASI!!
 
Yawezekana, huyo PhD na msukuma Kuna tofauti kwani.
 
Hivi hili jukwaa hakuna moderator? Hii takataka imekuwa celeb lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…