Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humtendei haki Lucas Mwashambwa, ungemtafsiria si unajua tena elimu yake ni ile ya MEMKWA.
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.Humtendei haki Lucas Mwashambwa, ungemtafsiria si unajua tena elimu yake ni ile ya MEMKWA.
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shu
Siyo nakudharau dogo bali maandiko yako humu ndiyo yanakuelezea kuwa wewe ni zero 🧠 .Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni.
Subiri kwanza ameenda kutafsiriwa na ephen_ atarudi.Humtendei haki Lucas Mwashambwa, ungemtafsiria si unajua tena elimu yake ni ile ya MEMKWA.
Wafrika kinachotusumbua ni akili za watawala wetuSiyo Rasilimali za asili pekee unazomiliki ndio zinakufanya uwe tajiri.bali inahitaji akili ,pesa, teknolojia,maarifa na ujuzi wa watu wako unaotokana na kupata Elimu bora na ya viwango vikubwa.
a Nchi yake wanadaiwa shilingi ngapi kutoka mataifa ya nje,taasisi za kifedha na mashirika mbalimbali ya kifedha kutoka maeneo mbalimbali Duniani?
Mtoa ujumbe mwenyewe huyo anamadeni kibao sana Nchini kwake. Muulizeni kwanini alikopa na kuomba msaada?Wafrika kinachotusumbua ni akili za watawala wetu
Hatuwezi tukawa na rasilimali zote
Anakuja mtu anavuna anapeleka kwao alafu anakuja tena kutuuzia
Vifaa nk,kwa mali iliyotoka kwetu wenyewe
Ova