Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Kama una hasira kunywa sumu UFE na kufa kabisa tu ndugu yangu maana huna faida kabisa hapa Nchini. Unamaliza tu hewa safi ambayo ingeweza hata kumpepea ephen akiwa anatembea.kuliko hewa hiyo safi ukivuta wewe usiyejitambua.
Ona shoga hili, jitu la hovyo kabisa kutwa kusifia waume zake, shoga limetengwa.
 
Kwani ni Listi ipi iliyotolewa inaonyesha kati ya nchi kumi zinazodaiwa madeni makubwa na Tanzania ipo?
Huu uzi hauzungumzii madeni, unazungumzia kwann tuna rasilimali halafu Kiongozi wa nchi anaenda kwa WaAsia, Wazungu? Kwanini hao was ije?
Yaani kuna harufu ya udalali.
Job Ndugai alikuwa sahihi sana
 
Huu uzi hauzungumzii madeni, unazungumzia kwann tuna rasilimali halafu Kiongozi wa nchi anaenda kwa WaAsia, Wazungu? Kwanini hao was ije?
Yaani kuna harufu ya udalali.
Job Ndugai alikuwa sahihi sana
Je Rwanda haidaiwi? Haina madeni? Ni nchi gani Afrika isiyo Daiwa? Unafahamu hata Japani yenyewe inadaiwa?
 
Huu uzi hauzungumzii madeni, unazungumzia kwann tuna rasilimali halafu Kiongozi wa nchi anaenda kwa WaAsia, Wazungu? Kwanini hao was ije?
Khaaaaa! Unasema?? Mbona umetafsiri uongo na kweli? Kumbe unamsa lucas wewe mwenyewe ni walewale
 
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.
"Kinara wa kuongea kizunguu" Tuanzie hapo kwanza. Tukishajua "kizunguu" ni lugha gani basi tutaendelea kuchangia na kudadavua mambo .
 
Khaaaaa! Unasema?? Mbona umetafsiri uongo na kweli? Kumbe unamsa lucas wewe mwenyewe ni walewale
Na Wewe Ephen unakurupuka na kujichanganya sijui ni mihemuko au? Niliomba maoni ya Lucas na yeye akaja na maneno mengi yenye kujichanganya mpaka anamtaja na Samia.
Kwa sababu kamtaja na Rais Samia huyo unayemtetea, kwa kuwa anamtaja Rais atusaidie kutuchambulia hii Mikataba aliyeiingia Rais imetusaidia nini Watanzania?

1. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini

2. Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)

3. Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba

4. Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje

5. Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi

6. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai (OBC) wao wameongezewa 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai ambao wamebaki na 2,500km²

7. Watu wa Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia eneo la bahari kuu kusini mwa Tanzania, eneo la Likong’o Lindi

8. Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Dar es Salaam.

9. Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.

10. Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.

NB; Umepewa nini wewe? Unaendelea kuwa admin wa kundi la WhatsApp, kuwatishia watu na ‘remove button’ wanaokosoa serikali? Shensisana. Zoea hiyo sauti

Martin Maranja Masese, MMM.
 
Back
Top Bottom