Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

"If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”

View attachment 3009379
Sijui ni sababu zipi hasa zilizokufanya uanzishe mada nzito kama hii kwa kutumia kichwa cha mada kama ulivyo kiweka.

Kwenye hili Kagame yupo vizuri; lakini wizi wa mali za majirani nao huwezi kuuita 'the "right mind." Kama ilivyo katika kuchochea migogoro ndani ya nchi hizo.

This is a statement from the devil himself!
 
"If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”

View attachment 3009379
Informal Translation:
1717599244274.png

Nukuu-Kauli ya Paul Kagame kwa Waafrika: "Kama wenye umiliki wa rasilimali za asili wakubwa wanasafiri ulimwenguni pote kuomba omba, basi unatakiwa utambue kuwa kuna kitu hakiko sawa kwenye akili zao"

Hili dongo limerushwa kwenda kwa nani?
 
Mtoa ujumbe mwenyewe huyo anamadeni kibao sana Nchini kwake. Muulizeni kwanini alikopa na kuomba msaada?
Kwani amezungumzia madeni?
Huku ndiko kutokuwa na uwezo wa kiakili kujuwa nini kinachozungumziwa. Unachanganya takataka zote, ili mradi tu uonekane umejibu hoja! Hizi elimu zenu hizi zina matatizo makubwa.
 
Hizo aibu Magufuli hakuzitaka, hakuna wskukujengea nchi na Kwa sera za Rais Samia kamwe hatokuja kukuza uchumi imara Kwa nchi hii
Anawezesha matajiri wenzake wasije kumlaumu akitoka madarakani .
Mwenye mali ndiye anaoishi kama malaika kwa sasa lakini kwa mwananchi wa kawaida thubutu hawana hamu naye kabisa.

kiguu na bakuli la kukusanyia masalia ya wenye nacho wanapopita matajiri.

Demokrasia huwa haimsaidii mwananchi wa kawaida ya kuwaneemesha wenye nacho pekee
 
Huyu mama 24/7 ni kiguu na njia, hatulii, akitulia ujue amekuja kupika deal jingine la kuuza nchi, anarud tena kuzurura. Yan awamu hii tuna sales and marketing officer pale magogoni.

Ujumbe wa kagame roho imeniuma mmi kama ndio mkuu wa nchi vile
Acha ujinga wako wewe.uwe na adabu kwa mamlaka.huyo mtoa ujumbe kajaa madeni. Kukopa siyo dhambi bali kinachoangaliwa ni unakopa kwa ajili ya nini na masharti ya mkopo yapoje. Serikali yetu imekuwa ikichukua mikopo ya masharti nafuu kabisa.kama tulivyoshuhudia mkopo wa Dolla Billion 2.5 ambao riba yake ni 0.01% na utalipwa kwa muda wa miaka 40
 
kagame angenyoosha maneno tu kwamba sir100 kwenda kuomba omba nje misaada na mikopo ni kuwa na afya mbovu ya akili
 
Kwani amezungumzia madeni?
Huku ndiko kutokuwa na uwezo wa kiakili kujuwa nini kinachozungumziwa. Unachanganya takataka zote, ili mradi tu uonekane umejibu hoja! Hizi elimu zenu hizi zina matatizo makubwa.
Acha ujinga wako wewe. kwa hiyo unafikiri kuna pesa zinazogawiwa kama njugu huko Duniani ?
 
Acha ujinga wako wewe.uwe na adabu kwa mamlaka.huyo mtoa ujumbe kajaa madeni. Kukopa siyo dhambi bali kinachoangaliwa ni unakopa kwa ajili ya nini na masharti ya mkopo yapoje. Serikali yetu imekuwa ikichukua mikopo ya masharti nafuu kabisa.kama tulivyoshuhudia mkopo wa Dolla Billion 2.5 ambao riba yake ni 0.01% na utalipwa kwa muda wa miaka 40
Tangu aanze kukopa mwananchi wa kawaida amenufaika na nini kama sio kila kitu vinapandishwa kodi na mwananchi hafanyi maendeleo yoyote. Uwezo wa wananchi kununua viwanja na kujenga nyumba umepungua sana tangu aingie madarakani. Makazi ya wananchi yanavunjwa kila kukicha bila huruma ya aina yoyote wakati ndio hao wanaolipa kodi kupitia njia mbalimbali lakini hawasikilizwi na kutatuliwa kero walizosababibishiwa na wenye madaraka.

Viongozi wana majibu ya dharau, kejeli, kiburi na ya kifedhuli
 
Acha ujinga wako wewe.uwe na adabu kwa mamlaka.huyo mtoa ujumbe kajaa madeni. Kukopa siyo dhambi bali kinachoangaliwa ni unakopa kwa ajili ya nini na masharti ya mkopo yapoje. Serikali yetu imekuwa ikichukua mikopo ya masharti nafuu kabisa.kama tulivyoshuhudia mkopo wa Dolla Billion 2.5 ambao riba yake ni 0.01% na utalipwa kwa muda wa miaka 40
We fala , mi sibishani na wehu mbwa wee
 
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.
Mental illness is real
 
Back
Top Bottom