Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Natural resources are full in the country, we lack serious people with intelligence on what to do with that wealth, the minds of many leaders are to sell natural resources to investors with ridiculous deals
 
Acha ujinga wako wewe.uwe na adabu kwa mamlaka.huyo mtoa ujumbe kajaa madeni. Kukopa siyo dhambi bali kinachoangaliwa ni unakopa kwa ajili ya nini na masharti ya mkopo yapoje. Serikali yetu imekuwa ikichukua mikopo ya masharti nafuu kabisa.kama tulivyoshuhudia mkopo wa Dolla Billion 2.5 ambao riba yake ni 0.01% na utalipwa kwa muda wa miaka 40
🤣🤣🤣
 
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.
Mwandiko wako,sema yako ndivyo vinavyokutafisiria empty. Lakini upande huo wengi ni vilaza. Wamepewa vitengo nyeti tu lakini is empty.
 
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.
We mjinga umenichekesha aiseeee.
 
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.
Hii tu inatosha kutuambia ulikuwa kilaza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kilaza ndo anashangiliwa na watu kucheka sanaaaaaaa
 
Siyo Rasilimali za asili pekee unazomiliki ndio zinakufanya uwe tajiri.bali inahitaji akili ,pesa, teknolojia,maarifa na ujuzi wa watu wako unaotokana na kupata Elimu bora na ya viwango vikubwa.

Embu fikiria hata kama una gesi asilia lakini huna pesa, wataalamu wenye ujuzi na uzoefu, teknolojia na mengine mengi ni vipi utavuma gesi hiyo?

Hiyo ndio sababu ya viongozi wenye Akili kubwa ,maarifa na maono makubwa aina ya Daktari Samia Suluhu Hasssan hutumia akili kutafuta pesa kwa njia mbalimbali kama ya mikopo nafuu kabisa isiyo na athari wala maumivu kwa walipakodi na mali na utajiri wa Taifa letu.

Lakini pia kuna masuala ya ubia kati ya serikali na Secta binafsi kama ambavyo hufanyika hapa Nchini na njia nyingine mbalimbali zinazokubalika na zenye maslahi kwa Taifa letu.

Angalia hata Mheshimiwa Paul Kagame yeye na Nchi yake wanadaiwa shilingi ngapi kutoka mataifa ya nje,taasisi za kifedha na mashirika mbalimbali ya kifedha kutoka maeneo mbalimbali Duniani?
kumbe,wewe ni kilaza
 
Back
Top Bottom