Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Mbona umemficha sura?
 
Luciano ninaemjua Mimi, anavyopenda bangi, sidhani Kama ana Muda wa kwenda kukaa na kujichora hii mambo. Na hata Kama ingekuwa kweli, nisingefurahi rais wangu achorwe na mandumu mtu namna hiyo.
 
Kumbe habari za Magufuli zimeenea hadi Jamaika..

Na hilo ndio hasa linaweza kuwa tatizo. Sifa kujulikana sana inafaa kuendane na matendo na mafanikio ya kiuchumi na kiuongozi.
Tusije geuka world's laughing stock
 
Huyu msanii Kashakula Bangi Zake Anazingua tu..... Yaan mvuta ganja nae mnamuona mtu Wa maana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huyu msanii Kashakula Bangi Zake Anazingua tu..... Yaan mvuta ganja nae mnamuona mtu Wa maana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nimeingia net nimesearch tatoos zote za huyo msanii sijaona hii bila kujali maudhui yake hii sio sifa bali ni dhihaka
 
Nimeingia net nimesearch tatoos zote za huyo msanii sijaona hii bila kujali maudhui yake hii sio sifa bali ni dhihaka
Ni vichekesho Hata kama Ni kweli tunajivunia Tattoo za msanii?... aisee we r not serious Sa akijichora znaupandishaje uchumi wetu?
 
Huyo jamaa anaitwa mossred ni mtanzania msanii anaishi south africa
 
DUDU BAYA Kawa LUCCI LUCIANO siku hizi, hivi nyie vijana wa Lumumba huwa mnatuona Watz ni wajinga wa Level hiyo???.Access na Luciano umeipata wapi na lini hadi akutumie picha hiyo, Kama cvyo, basi tuwekee hiyo link ulikoitoa hiyo picha.
 
Kamaanisha mtukufu raisi kweliiii? Isijekuwa aina ya bangi anayoipenda huko kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…