Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huyo jamaa ni msanii wa mwanza anaimba na kina h.baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umemficha sura?Mwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya mda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika ,
Hahaaaaa,hadi mla ganja mnatuletea hapa!Kweli sifa nyingine uchwaraHuyu mwanamuziki anajitambua na daima tukumbuke kuwa nabii kamwe haheshimiki nyumbani kwake!
That's the pointMbona umemficha sura?
Kumbe habari za Magufuli zimeenea hadi Jamaika..
Worldwide!Kumbe habari za Magufuli zimeenea hadi Jamaika..
Huyu msanii Kashakula Bangi Zake Anazingua tu..... Yaan mvuta ganja nae mnamuona mtu Wa maana[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya mda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika ,
Nimeingia net nimesearch tatoos zote za huyo msanii sijaona hii bila kujali maudhui yake hii sio sifa bali ni dhihakaHuyu msanii Kashakula Bangi Zake Anazingua tu..... Yaan mvuta ganja nae mnamuona mtu Wa maana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ni vichekesho Hata kama Ni kweli tunajivunia Tattoo za msanii?... aisee we r not serious Sa akijichora znaupandishaje uchumi wetu?Nimeingia net nimesearch tatoos zote za huyo msanii sijaona hii bila kujali maudhui yake hii sio sifa bali ni dhihaka
Think tank ya ccm ni majanga tupuNi vichekesho Hata kama Ni kweli tunajivunia Tattoo za msanii?... aisee we r not serious Sa akijichora znaupandishaje uchumi wetu?
Nimeingia net nimesearch tatoos zote za huyo msanii sijaona hii bila kujali maudhui yake hii sio sifa bali ni dhihaka
Huyo jamaa anaitwa mossred ni mtanzania msanii anaishi south africaNi vichekesho Hata kama Ni kweli tunajivunia Tattoo za msanii?... aisee we r not serious Sa akijichora znaupandishaje uchumi wetu?
Umeua.Huyo jamaa anaitwa mossred ni mtanzania msanii anaishi south africa View attachment 400461
Ahsante.Huyo jamaa anaitwa mossred ni mtanzania msanii anaishi south africa View attachment 400461
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo Ugreat thinker wenyewe mkuuNimecheka sana hii inabidi uzame ukiibuka ndipo uelewe
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kamaanisha mtukufu raisi kweliiii? Isijekuwa aina ya bangi anayoipenda huko kwao