Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Mwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya mda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini
View attachment 400403

Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika ,
Mbona umemficha sura?
 
Luciano ninaemjua Mimi, anavyopenda bangi, sidhani Kama ana Muda wa kwenda kukaa na kujichora hii mambo. Na hata Kama ingekuwa kweli, nisingefurahi rais wangu achorwe na mandumu mtu namna hiyo.
 
Mwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya mda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini
View attachment 400403

Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika ,
Huyu msanii Kashakula Bangi Zake Anazingua tu..... Yaan mvuta ganja nae mnamuona mtu Wa maana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nimeingia net nimesearch tatoos zote za huyo msanii sijaona hii bila kujali maudhui yake hii sio sifa bali ni dhihaka
 
Ni vichekesho Hata kama Ni kweli tunajivunia Tattoo za msanii?... aisee we r not serious Sa akijichora znaupandishaje uchumi wetu?
 
Huyo jamaa anaitwa mossred ni mtanzania msanii anaishi south africa
1473910394945.png
 
DUDU BAYA Kawa LUCCI LUCIANO siku hizi, hivi nyie vijana wa Lumumba huwa mnatuona Watz ni wajinga wa Level hiyo???.Access na Luciano umeipata wapi na lini hadi akutumie picha hiyo, Kama cvyo, basi tuwekee hiyo link ulikoitoa hiyo picha.
 
Kamaanisha mtukufu raisi kweliiii? Isijekuwa aina ya bangi anayoipenda huko kwao
 
Back
Top Bottom