Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Msanii wa Feza Gang amejichora Magufuli tattoo.. Watu wamesaini buku 7 zao siku imepita
 
Mkuu umemaliza kila kitu, sasa tuendelee na shughuli nyingine.
 
Huyu mwanamuziki anajitambua na daima tukumbuke kuwa nabii kamwe haheshimiki nyumbani kwake!
Kwani wasio mheshimu Magu si wanajulikana mkuu?

Ni wale wa upande waliokubali kuuza chama!

Kwani Yesu alipingwa sana na kina nani,? Jibu unalo!
 
Acheni propaganda za kitoto yaan ufanye photoshop af mjipange kujijibu wenyewe mkidhani mtawaaminisha watu, kweli njaa ikiingia ubongoni mbaya, shame on you Lumumba fc
Na wewe ifanyie photoshop yule rais wa mioyo yenu ufurahi basi!

Kushikiwa akili ni kubaya sana...
 
Safi sana...
Umemaliza! Nlivyoiona hii thread nilipata mshangao kidogo! Nilichokiwaza naona ndio ulichokisema!...
 
mhhh tattoo ya magufuli huyo atakuwa ni mbongo anafanana na luci
 
Naona mmeamua kuzidanganya nafsi zenu kisa njaa za matumbo yenu acheni kujiumiza ndugu
Pole ndugu... Penda kusikia usichopenda kusikia utaishi kwa amani sana!
 
Acheni propaganda za kitoto yaan ufanye photoshop af mjipange kujijibu wenyewe mkidhani mtawaaminisha watu, kweli njaa ikiingia ubongoni mbaya, shame on you Lumumba fc
Chukua like mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…