Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

umechukia...pole!
Kwa hiyo umefurahia huu upmbavu??
Jf siyo blog za mtaani, kwa ajili ya mambo ya kijinga jinga!
Hivi unawezaje kushabikia upuuzi kama huo au ni mihemko tu inakuwasha?
Mmezoea kupotosha watu mitaani maana jinsi hata wewe ulivyo si ajabu ukachukua hiyo picha na kuwahadaa majuha wenzio kuwa ni kweli ni msanii kutoka Jamaica kachora hiyo tatoo!!
Buku 7 bhana...mnatia aibu!!
 
nadhani tunamuongelea huyu
12095998_10153337211273681_6888443722406998119_n.jpg
 
Wangapi waliokuwa wanamkubali sahivi wanajilaumu?? Wangapi wameimba sifa Zake Lakini sasa hivi wajutia?? Na wanaona walipoteza Kura zao,
Kama huyu alichora hii tattoo mwanzoni mwa utawala wake basi Nafikiri yanamkuta yaliowakuta waliokuwa wakimtukuza,inawezekena pia hajui kinachooendelea nchini kwetu kwa sasa,,
Na usipende kutumia biblia kwa watu wasio-adress Matendo ya biblia maishani mwao
Huyu mwanamuziki anajitambua na daima tukumbuke kuwa nabii kamwe haheshimiki nyumbani kwake!
 
Sifa zingine mnazompa hata yeye mwenyewe atashangaa kituko gani hiki nachorwa hadi na machizi
 
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.

Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.

View attachment 400403

Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.

Doooh umenikimbusha Jamaica maana iko poa sana kwa wapiga jani na Rastafarians.
 
Hatishwi na ya mpito bali ya muda mrefu [emoji134] [emoji134] [emoji134] HATUFAI
Kiongozi yeyote anayetishika ni janga
pia mkuu tizama hapo kifuani kuna neno FEZA sasa sijui huko jamaika nao wana neno hilo? hii picha sio ya mtu wa huko jamaika..hii ni ya a certain 'dude' hapa bongo
 
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.

Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.

View attachment 400403

Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.

Huyo jamaa ni mvuta bangi.
 
Venchwa...unauhakika kua Huyo mjamaca hio tatoo ana maanisha Magufuli mkulu wa nchi? Je kama linamaana ingine kijamaica? Je wew mleta uzi Venchwa umeongea nae akakuthibitisgia kua ndio alichokua anamaanisha?
Tuwekw uhakika hapa...
 
Back
Top Bottom