Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Sisi hiyo hatujari! Haina impact yoyote juu ya maisha ya Mwafrica, hata tusema lugha ya kwanza ya Mwafrica Kiarabu, Na kiswahili kina asili ya kiarabu.... So What??????
Hahaha, eti hatujari.

Sio HATUJARI, HATUJALI.
 
Sasa Kama Africa imetokana Na Kiarabu.... So What??? Haina maana yoyote kwangu.....labda ukinambia unajua Nyerere kachangia uhuru wa Nchi hii? Hiyo ndo itakua Na maana kwangu!
Haina maana kwako kwa sababu wewe ni mbaguzi wa rangi na dini.

Nyerere anamaana kwako kwa sababu ni mfuasi wa dini yako lakini wengine wote hawana maana kwako kwa sababu ni Waislamu. Mbaguzi wewe.
 
Haina maana kwako kwa sababu wewe ni mbaguzi wa rangi na dini.

Nyerere anamaana kwako kwa sababu ni mfuasi wa dini yako lakini wengine wote hawana maana kwako kwa sababu ni Waislamu. Mbaguzi wewe.
Nyerere BABA wa TAIFA, huwezi futa hii kwenye historia...
Never everrr...
 
Nenda zako huko wewe Mujahidina!
Je unajua maana ya neno 'Mujahidina' ?

Nakuona unaropokwa hovyo (bila shaka haujui maana ya neno 'Mujahidina' ni nini, ungejua maana yake ungewasifu Mujahidina wote).
 
Hahahaha, kweli kabisa
 
Sio 60% ni 15%.
 
Wewe kila siku unazungumza lugha ya Kiarabu bila ya wewe kujua,

Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, daftari, karatasi, mijadala, lugha, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, Swahili, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka utachoka kuyasoma).

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
 
Asilima 60 ya maneno ya kiswahili ni kiharabu....? Mliosoma kiswahili vizuri fom 3 mnikumbushe aisee labda sikua naelewa vizuri vizuri kwenye kiswahili nadhani hio takwimu sio sawa
Mimi nakumbuk ni 15%.
 

Wewe hapa ktk bandiko hili umeshatumia maneno 8 ya KIARABU Fasaha. Na mengine 10 Yenye Asili hoo hio ya KIARABU.
Sasa sijui unaongea uharo gani hapa.

Km unaona kiarabu hakina maana kwako basi ktk Hilo bango lako toa maneno yafuatayo uone km utaeleweka.

aibu, lugha,dunia,shaka,dini,ufahamu ,
imani,haswa.

Muongea kiswahili YOYOTE hata afanye nini KIARABU HAWEZI KUKIEPUKA.

Andika lugha yenu ya Kikerewe hapa km kuna mtu atakuelewa au kukujibu.
 
what does it got to do with poverty?
We failed to communicate properly in our language, instead we used foreign language which are often difficult and complex to comprehend..

Westerners wame succeed kwa kutumia lugha zao, even chinese, Japanese, & Korean
 
We failed to communicate properly in our language, instead we used foreign language which are often difficult and complex to comprehend..

Westerners wame succeed kwa kutumia lugha zao, even chinese, Japanese, & Korean
kwa hiyo unamaanisha watanzania hawajui kiswahili vizuri kwa sababu kuna kiarabu ndani yake?
 
kwa hiyo unamaanisha watanzania hawajui kiswahili vizuri kwa sababu kuna kiarabu ndani yake?
Sio watanzania wote bali wagalatia ndio wanaopata tabu sana na Kiswahili kwa sababu ya kupenda kuwaiga wazungu.
Hata yale mahubiri yao kwenye Tv wanaongea Kiswahili lkn wanatia Lafidh za kiingereza kana kwamba wakiongea Kiswahili fasaha Imani yao itakuwa haina maana.

Ni utumwe wa akili huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…