Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina maana kwako kwa sababu wewe ni mbaguzi wa rangi na dini.Sasa Kama Africa imetokana Na Kiarabu.... So What??? Haina maana yoyote kwangu.....labda ukinambia unajua Nyerere kachangia uhuru wa Nchi hii? Hiyo ndo itakua Na maana kwangu!
Nyerere BABA wa TAIFA, huwezi futa hii kwenye historia...Haina maana kwako kwa sababu wewe ni mbaguzi wa rangi na dini.
Nyerere anamaana kwako kwa sababu ni mfuasi wa dini yako lakini wengine wote hawana maana kwako kwa sababu ni Waislamu. Mbaguzi wewe.
Hahahaha, kweli kabisaWe mkerewe mpk wali umefundishwa kula na Waarabu.
Bila wao ungeendelea kula funza wabichi mpk Yesu atakaporudi.
Teh teh teh.
Waijua halua wewe? Ukionjeshwa kiduchu na huo ulimi wa kikerewe ka bati unaweza kusisimka mwili ukaadhini kabla ya saa.
Teh teh teh teh.
Kilicho muhimu kwake ni Pombe za kienyeji na Kuvizia kina mama wakioga mtoni awachungulie.Wewe kila kitu sio muhimu kwako, hahaha.
Sio 60% ni 15%.Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.
Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.
Pia,
Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, lugha, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, Swahili, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).
Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Wewe kila siku unazungumza lugha ya Kiarabu bila ya wewe kujua,Ni aibu sana kwa Watanzania kushikia bango kiarabu lugha Ambayo matumizi yake kwa dunia ya leo ni machache sana huwa namtilia shaka sana mfia dini natambua yuko kifungoni akijitoa ufahamu na io imani mara nyingi si mtu aliesoma ivo mtu akisoma awezi kuwa kipofu wa imani tena ukisoma zaidi haswa science but atheist inakuhusu
Mimi nakumbuk ni 15%.Asilima 60 ya maneno ya kiswahili ni kiharabu....? Mliosoma kiswahili vizuri fom 3 mnikumbushe aisee labda sikua naelewa vizuri vizuri kwenye kiswahili nadhani hio takwimu sio sawa
Ni aibu sana kwa Watanzania kushikia bango kiarabu lugha Ambayo matumizi yake kwa dunia ya leo ni machache sana huwa namtilia shaka sana mfia dini natambua yuko kifungoni akijitoa ufahamu na io imani mara nyingi si mtu aliesoma ivo mtu akisoma awezi kuwa kipofu wa imani tena ukisoma zaidi haswa science but atheist inakuhusu
what does it got to do with poverty?That's why Afrika is the Poorest continent of all...
We failed to communicate properly in our language, instead we used foreign language which are often difficult and complex to comprehend..what does it got to do with poverty?
kwa hiyo unamaanisha watanzania hawajui kiswahili vizuri kwa sababu kuna kiarabu ndani yake?We failed to communicate properly in our language, instead we used foreign language which are often difficult and complex to comprehend..
Westerners wame succeed kwa kutumia lugha zao, even chinese, Japanese, & Korean
am try to defineHilo sio lengo la mleta mada Mkuu! Huoni Avatar yake?
Sio watanzania wote bali wagalatia ndio wanaopata tabu sana na Kiswahili kwa sababu ya kupenda kuwaiga wazungu.kwa hiyo unamaanisha watanzania hawajui kiswahili vizuri kwa sababu kuna kiarabu ndani yake?