Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Kumbe haujui unachoandika? Pole sana.
Inaonekana ama huna pa kunukuu ama wewe ndiye hujui ulichoandika.

Quite possibly both.

La sivyo, kwa nini usinikamate uzuri kwa maneno yangu mwenyewe?

Au hujui kunukuu hapa JF?

Wengine tunapojadili mambo hatutaki kujadili mambo jumla jumla, tunataka kujadili very specifically neno kwa neno.

Unaposhindwa kunukuu, unatukosesha nafasi hiyo na kujionyesha kwamba huna umakini.
 
Wakiitwa wanaume unaenda wewe kafunge ndevu uko...umesema ubishani sijui nini kinakuwasha sasa
Good night, basi yamekwisha, tusameheane, ulimi hauna mfupa, tayari mimi nimekusamehe, pia wewe umesha kubali kwamba kuna maneno mengi ya Kiarabu kwenye lugha ya Kiswahili that is all, discussion is finished (it is closed), good bye. Thank you and the best regards.

Matusi hayana faida.
 
Tatizo sio kutumia....je unajua kua kingereza kimehathiriwa maneno mengi ya kigiriki....kwenye sifa za lugha yote haya tulijifunza lugha inahasiliwa....asilimia 60 ya kiswahili ni kibantu yanayobaki ni kireno kingereza na kiharabu mkuu
We upende usipende Kiarabu utaongea tu.
Hutaki usiongee kiswahili manake hicho ni zaidi ya asilimia 60% maneno ya kiarabu
 
Mimi siongei kiharabu naongea kiswahili mkuu....
Si ajabu Kiswahili umeanza kukijulia shuleni tu, bila shaka ulikuwa ukiongea kisukuma au kinyeramba au lugha zingine za jadi kabla ya kuanza shule. Wa Kenya na Uganda mpaka sasa bado wanajifunza Kiswahili (Wakikijua vizuri na wao wataanza kusema Kiswahili ni kijaluo).
 
Si ajabu Kiswahili umeanza kukijulia shuleni tu, bila shaka ulikuwa ukiongea kisukuma au kinyeramba au lugha zingine za jadi kabla ya kuanza shule.
wewe umekijulia tumbon mwa babako si ndio...ebu niteme mimi na wewe tumemalizana
 
wewe umekijulia tumbon mwa babako si ndio...ebu niteme mimi na wewe tumemalizana
Mimi lugha yangu ni Kiswahili tu sina lugha nyingine kama wewe.

Wa Kenya na Uganda mpaka sasa bado wanajifunza Kiswahili (Wakikijua vizuri na wao wataanza kusema Kiswahili ni kijaluo).

Sema kweli hata kama ni chungu.
 
Mimi lugha yangu ni Kiswahili tu sina lugha nyingine kama wewe.

Wa Kenya na Uganda mpaka sasa bado wanajifunza Kiswahili (Wakikijua vizuri na wao wataanza kusema Kiswahili ni kijaluo).
Mwarabu huwez kua na lugha nyingne tofaut na kiswahil...ila ambae wazaz wake wana asili ya nchi hii ni lazima aanze kua mwanachama ww bantu ndo aje aseme kiswahil lugha yake...tuna kabila zaidi ya 120 zinazounda kiswahil...full Stop
 
1) Unaona mwenyewe umekiri (umesema) mwarabu wa tz hawezi kua na lugha nyingine tofauti na Kiswahili.

2) Nani amekuambia mimi ni Mwarabu? Au hiyo profile yangu inakudanganya?

Hiyo picha ya Sheikh Maarufu anaitwa Muhammad Al-Erefi sio picha yangu.

Huyu Sheikh ni kipogo wa makafiri.
 
1) Unaona mwenyewe umekiri (umesema) mwarabu wa tz hawezi kua na lugha nyingine tofauti na Kiswahili.

2) Mie sio Mwarabu.
...nadhani unajua makabila yote ya kibantu mkuu...kama una hio asili ya kibantu basi wewe mtanzania
 
Back
Top Bottom