Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Lakini bado Kiswahili ni Kiswahili na Kiarabu ni Kiarabu.

Hatusemi Kiingereza ni Kilatini kwa sababu Kiingereza kimetohoa maneno mengi sana kutoka Kilatini.
 
mkuu mbona unajikanganya.. kiswaili siyo lugha ya asili !! kiswahili ni lugha CHOTARA !!!
Mahmood hebu fafanua..
Lugha chotara maana yake nini? Na unaupimaje uchotara wa lugha?
Nikiangalia muundo wa maneno ya Kiswahili, vitenzi kwa mfano, naona hivi:
Mizizi ya Kiswahili: -beba, -chora, -nywa (kunywa). (mizizi ya kiBantu inaundwa na CVCV)
Mizizi ya Kiarabu: hml (beba), rsm (chora), srb (kunywa) (mizizi ya Kiarabu inaundwa na konsonant tatu)
Unapounda vitenzi katika minyambuliko mbalimbali unaweka viambishi mwanzo na mwisho:
ni-li-po-ku-beb-sh-a; a-ta-ni-beb-e-a; wa-me-beb-sh-w-a
Unapounda vitenzi vya Kiarabu katika minyambuliko mbalimbali, unafuata ruwaza za konsonanti na unaongeza irabu inavyotakikana: hamala 'alibeba', hammala 'alipakia", hammaalun 'mpagazi.'
Muundo huo wa Kiswahili ni wa Kibantu halisia. Tafuta tu lugha nyingine ya Kibantu kutoka Tanzania, Uganda, DRC, Angola, Namibia, Zambia, na kokote kwenye lugha za Kibantu na utagundua mara moja huo ni muundo wa kiBantu. Sasa sijaelewa uchotara uko wapi hapo.
 
Mkuu Hapa umempoteza ngoja akamulize tena uyo aliemdanganya
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Kiswahili ni lugha ya kiBantu, haikuwa inspired na lugha nyingine. Ni Kibantu. Na hizo historical interactions zimeleta maneno mengi hasa ya Kiarabu katika Kiswahili. Takwimu ya 60% sijui umeitoa wapi? Kama ni makadirio yako, sema hivyo na utueleze tu kwa vigezo gani umefikia hapo.
Hakuna lugha inayokuwa pure. Kiingereza kinajulikana kina asilimia kubwa sana ya maneno ya kigeni kutoka Kifaransa na Kilatini. Lakini hakiitwi Romance (lugha zilizotokana na Kilatini). Kinatambuliwa kama ni Germanic. Kigezo kinachotumika ni muundo wake si idadi ya maneno yaliyokopwa.
 
Lakini bado Kiswahili ni Kiswahili na Kiarabu ni Kiarabu.

Hatusemi Kiingereza ni Kilatini kwa sababu Kiingereza kimetohoa maneno mengi sana kutoka Kilatini.
Mkuu hayo sipingi, kweli Kiswahili ni Kiswahili.
 
Kiswahili ni lugha ya kiBantu, haikuwa inspired na lugha nyingine. Ni Kibantu. Na hizo historical interactions zimeleta maneno mengi hasa ya Kiarabu katika Kiswahili. Takwimu ya 60% sijui umeitoa wapi? Kama ni makadirio yako, sema hivyo na utueleze tu kwa vigezo gani umefikia hapo.
Hakuna lugha inayokuwa pure. Kiingereza kinajulikana kina asilimia kubwa sana ya maneno ya kigeni kutoka Kifaransa na Kilatini. Lakini hakiitwi Romance (lugha zilizotokana na Kilatini). Kinatambuliwa kama ni Germanic. Kigezo kinachotumika ni muundo wake si idadi ya maneno yaliyokopwa.
Arabic is the mother of all the languages. Please make research if you don't believe me.
 
Kwanza asante kuniita muongo, pili napenda ujue kwamba mimi nazijua lugha zote mbili hizi Kiarabu na Kiswahili (kuongea, kusoma na kuandika kwa lugha hizi mbili), nakuhakikishia kwamba kuna maneno ya kiarabu takriban 60% au hata zaidi ya 60% kwenye lugha ya Kiswahili (hata ukichukia huu ndio ukweli).
Mkuu kwa hiyo ni sahihi kusema kiswahili ni kiarabu?? Au kimetokana na kiarabu?
Pia nazani lugha zilizoandikwa hapa na takwimu zake zilikua zinamaanisha watu wanaozitumia kama lugha mama yaani native languages to native speakers ndo maana takwimu ikawa hivyo
Pia hizo lugha za kigeni zilizojumuishwa hapa nazani ni kwa vile zina native speakers who speak them as their native languages.
Ni mawazo yangu lakini juu hili na vile naelewa kuhusu masuala ya lugha
 
Arabic is the mother of all the languages. Please make research if you don't believe me.
Watu walianzia Africa, hawakuanzia Uarabuni. Utasemaje Kiarabu ni lugha ya kwanza?

Kwa mujibu wa nani? Quran?

Nimesoma Albert Hourani's "A History of The Arab Peoples" na Eugene Rogan's "The Arabs, A History" , nowhere is this claim made.
 
Wewe ndugu umepotoka sanaa,nina wasiwasi siku moja utakuja kusema na Kisukuma kiliundwa Arabuni kwa jinsi ulivyo mtumwa.
 
Asante labda elimu hii bado haijakufikia. Nakushauri ufanye utafiti kabla ya kunishutumu.
 
Watu walianzia Africa, hawakuanzia Uarabuni. Utasemaje Kiarabu ni lugha ya kwanza?

Kwa mujibu wa nani? Quran?

Nimesoma Albert Hourani's "A History of The Arab Peoples" na Eugene Rogan's "The Arabs, A History" , nowhere is this claim made.

Kwani haujui kwamba kuna inchi nyingi za Kiarabu zimo ndani ya Afrika?

Unasema umesoma kitabu cha Albert Hourani (fine), sisi pia tumesoma vitabu vingi kuhusu History of the Arabs.

Soma kitabu hiki Arabic the Mother of all Languages - (Book) Minan-ur-Rahman, utapata a lot of information in it (In Sha Allah).
 
Kwani haujui kwamba kuna inchi nyingi za Kiarabu ndani ya Afrika?

Unasema umesoma kitabu cha Albert Hourani (fine), sisi pia tumesoma vitabu vingi kuhusu History of the Arabs.

Soma kitabu hiki Arabic the Mother of all Languages - (Book) Minan-ur-Rahman, utapata a lot of information in it (In Sha Allah).
Hilo la nchi za Kiarabu ndani ya Africa mbona nishakujibu?

Hivi unaelewa kwamba huko kote kwenye waarabu Africa wamekuja tu hao? Wenyeji hasa wa huko walikuwa Waafrika weusi? Ushawahi kusoma kazi za Cheik Anta Diop?

Unafahamu historia ya watu walipoanzia na kusambaa dunia nzima?

Walianzia wapi?
 
1) Inchi kama Morocco, Algeria, Tunis, Libya ni white Africans tokea Zamani (wapo karibu na Europe).

2) Watu wote wametokana na Adamu na Hawa (Bila shaka unajua).
 
Hakunipoteza Mkuu, Alhamdulillah najua Kiswahili, Kiarabu, Kiingereza (I know what I am talking about).
Asili ya kiswahili ni kibantu mwsho wa mjadala....kama hio picha kwenye ID yako ni wewe haina haja tuendelee kukubishia ndo akili zenu ninyi zilivo
 
1) Inchi kama Morocco, Algeria, Tunis, Libya ni white Africans tokea Zamani (wapo karibu na Europe).

2) Watu wote wametokana na Adamu na Hawa (Bila shaka unajua).
Zamani mwaka gani? Europe imekuwa populated na watu mwaka gani?

Unafahamu kwamba Adamu na Hawa ni hadithi tu, hawajawahi kuwapo?

Kuamini habari ya Adamu na Hawa siwezi kushangaa unaamini Kiarabu ni mwanzo wa lugha zote.

Kifupi ni kwamba, kabla ya kuwapo hilo jangwa watu weusi walikuwa kote huko, hawa waarabu wamekuja karibuni tu.

Watu wameamua kutoka Africa miaka 100,000 iliyopita. Watu weusi wamepita huko North Africa kupopulate the rest of the world, utasemaje Morocco ni White Africans tangu zamani (isiyo na mwaka) wakati milionea na watu weusi kabla Ulaya hakujawa na watu?

Unafahamu the history of Homo Sapiens migration ilianzia wapi na ikaenda wapi au unakariri habari za Adamu na Hawa tu?
 
Mimi nikitamka neno "Kiswahili" nimeongea neno la Kiarabu? Emu leta kamusi ya Kiarabu tuone kama kuna neno "Kiswahili" ili nipate kujua basi.
Ndio, neno Swahili limetokana na neno ساحل (pwani) Wenye kuzijua lugha hizi mbili (Kiswahili na Kiarabu) wanajua haya.
 
Zamani mwaka gani? Europe imekuwa populated na watu mwaka gani?

Unafahamu kwamba Adamu na Hawa ni hadithi tu, hawajawahi kuwapo?

Kuamini habari ya Adamu na Hawa siwezi kushangaa unaamini Kiarabu ni mwanzo wa lugha zote.

Kifupi ni kwamba, kabla ya kuwapo hilo jangwa watu weusi walikuwa kote huko, hawa waarabu wamekuja karibuni tu.

Watu wameamua kutoka Africa miaka 100,000 iliyopita. Watu weusi wamepita huko North Africa kupopulate the rest of the world, utasemaje Morocco ni White Africans tangu zamani (isiyo na mwaka) wakati milionea na watu weusi kabla Ulaya hakujawa na watu?

Unafahamu the history of Homo Sapiens migration ilianzia wapi na ikaenda wapi au unakariri habari za Adamu na Hawa tu?
Wewe sasa unataka kutoka nje ya mada, wewe huna haki ya kunikataza nisiamini kitabu changu kitukufu kinacho sema kwamba Adam ni Binadamu wa kwanza kuumbwa na Mwenyezi Mungu (kisha akaumbwa hawa). Kama wewe hauna dini kaa na ukafiri wako usiingilie imani yangu (Mimi naamini Adam na hawa walikuwepo, sisi Binadamu wote ni kizazi chao, full stop).
 
Tatizo Kiswahili hatufanyii hata interview kwenye kazi, kinabaki kuwa cha kuongelea mtaani tu.
 
Back
Top Bottom