Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,908
- 2,478
- Thread starter
- #101
Naona maneno yako yanaonyesha wazi kabisa kwamba wewe ni mbaguzi wa rangi kama makaburu.Asili ya kiswahili ni kibantu mwsho wa mjadala....kama hio picha kwenye ID yako ni wewe haina haja tuendelee kukubishia ndo akili zenu ninyi zilivo
Sikulaumu labda elimu hii bado haijakufikia (pia nadhani unajua kwamba Kiswahili kilianzia kwa Waislamu wa pwani mpaka leo Waislamu wa Pwani Kiswahili ndio lugha yao ya kwanza), wewe si ajabu umeanza kujua kuongea Kiswahili shuleni tu (Wabara wengi wakianza kusoma shule za msingi, Kiswahili chao ni zero, nakumbuka kuna kijana mmoja wa Kisukuma alipo anza darasa la kwanza alikuwa hajui kabisa kiswahili, alijifunza kuongea Kiswahili shuleni).