Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.
Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.
Pia,
Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).
Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.