Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Nakujua hauwapendi warabu hili ni tatizo lako mwenyewe lakini time ipo una fursa bado ya kubadilika, hata neno hili SWAHILI ni neno la kiarabu maana yake ni PWANI.

Endelea kusoma utajua tu bro.

SWAHILI = SAWAHEL = PWANI
 
Kwenye kujua asili ya lugha hatuangalii sana msamiati, kwa kuwa msamiati unabadilika sana jinsi lugha inavyokua bali tunaangalia muundo, kiswahili ni kibantu kimuundo, ingawa msamiati wake umeazimwa katika lugha nyingine kama kiarabu, kiajemi, kihindi, kijerumani, kireno na hata kiingereza.

Kuazima msamiati ni sifa kubwa ya lugha yoyote, kwa kuwa hakuna lugha inayojitosheleza. Hivyo kukiita Kiswahili ni kiarabu au lugha chotara kwa kuwa eti imeazima misamiati si sahihi. Kwani ingekuwa hivyo basi lugha kama kijerumani, kidachi, kiingereza hata kiswidi nazo zingekuwa lugha chotara kwa kuwa zimeazimana sana misamiati.

Lugha za kiroma: kilatini, kiitaliano, kifaransa, kihispania na kireno zimeazimana sana misamiati kiasi kwamba wazungumzaji wanaweza kusikilizana hata kama hawaongei lugha moja.

Hivyo, hata kama Kiswahili kina maneno mengi ya kiarabu hatuwezi kukiita kiarabu kwa kuwa hata kiarabu chenyewe kimeazima maneno mengi sana kutoka kihindi, kiajemi na hata kiebrania.

Tujivunie Kiswahili chetu, ni lugha yetu waAfrika.
 
Mkuu Makanjam, hakuna aliesema kiswahili ni kiarabu, ila tunasema kwenye Kiswahili kuna maneno mengi sana ya Kiarabu.
 
Sikatai mkuu kuwa kiswahili kina maneno ya kiarabu... Kiarabu ni asilimia 31 tu ndani ya kiswahili... Lugha za kibantu zina maneno mengi sana kwenye hii lugha... Pia tuna kireno, kijerumani, kiengereza na kihindu... Kumbuka waarabu walipofika pwani ya Afrika mashariki waliwakuta watu wanazungumza hii lugha ndo maana wakaita lugha ya watu wa pwani (swahili)... Athari za wao kuja na kuishi pwani ndio kulichangia kuingia maneno mengi ya kiarabu kwenye hii lugha, baadae alikuja mreno pwani... Tuna maneno machache ya kireno kwenye kiswahili pia, usiwasahau wajerumani, waingereza ambao walifuata... Hao wote wamesababisha kuzaliwa kwa maneno mengi ya kiswahili
 
1) Kiarabu 200 Million
2) Kiingereza 150 Million
3) Kiswahili 140 Million
4) Kifaransa 115 Milliion
5) Hausa 50 Million
6) Amrik 25 Million
badilisha heading. English, French, Arabic sio lugha za afrika
 
Kwenye kujua asili ya lugha hatuangalii sana msamiati, kwa kuwa msamiati unabadilika sana jinsi lugha inavyokua bali tunaangalia muundo, kiswahili ni kibantu kimuundo, ingawa msamiati wake umeazimwa katika lugha nyingine kama kiarabu, kiajemi, kihindi, kijerumani, kireno na hata kiingereza.

Kuazima msamiati ni sifa kubwa ya lugha yoyote, kwa kuwa hakuna lugha inayojitosheleza. Hivyo kukiita Kiswahili ni kiarabu au lugha chotara kwa kuwa eti imeazima misamiati si sahihi. Kwani ingekuwa hivyo basi lugha kama kijerumani, kidachi, kiingereza hata kiswidi nazo zingekuwa lugha chotara kwa kuwa zimeazimana sana misamiati.

Lugha za kiroma: kilatini, kiitaliano, kifaransa, kihispania na kireno zimeazimana sana misamiati kiasi kwamba wazungumzaji wanaweza kusikilizana hata kama hawaongei lugha moja.

Hivyo, hata kama Kiswahili kina maneno mengi ya kiarabu hatuwezi kukiita kiarabu kwa kuwa hata kiarabu chenyewe kimeazima maneno mengi sana kutoka kihindi, kiajemi na hata kiebrania.

Tujivunie Kiswahili chetu, ni lugha yetu waAfrika.

Hapo umenena mkuu,tatizo watu wakishakunywa kahawa na kashata halafu wakatamka maneno ya Kiswahili kwa kulazimishia lafudhi ya Kiarabu wanajiona tayari ni Waarabu hadi kwa lugha
 
Nakujua hauwapendi warabu hili ni tatizo lako mwenyewe lakini time ipo una fursa bado ya kubadilika, hata neno hili SWAHILI ni neno la kiarabu maana yake ni PWANI.

Endelea kusoma utajua tu bro.

Leta kamusi ya Kiarabu tuone kama kuna neno "Swahili"
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, wizara, waziri, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu.

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Acha uongo, unamaanisha nini unaposema majina yote ya namba yametoka kwenye kiarabu?
Ukiniambia baadhi ya majina ya nambq hapo ni sawa, kaka kwenye msingi wa namba huwa tunahesabu hivi Moja/Mosi, Mbili, Tatu, Nne, Tano hicho chote ni kibantu, nane, Kenda na Kumi pia kibantu, hapo kiarabu kipo kwenye sita, saba na tisa tu,
Tukija kwenye makumi ndio tumekopa kiarabu japo kibantu chake pia kipo
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
 
Kwenye kujua asili ya lugha hatuangalii sana msamiati, kwa kuwa msamiati unabadilika sana jinsi lugha inavyokua bali tunaangalia muundo, kiswahili ni kibantu kimuundo, ingawa msamiati wake umeazimwa katika lugha nyingine kama kiarabu, kiajemi, kihindi, kijerumani, kireno na hata kiingereza.

Kuazima msamiati ni sifa kubwa ya lugha yoyote, kwa kuwa hakuna lugha inayojitosheleza. Hivyo kukiita Kiswahili ni kiarabu au lugha chotara kwa kuwa eti imeazima misamiati si sahihi. Kwani ingekuwa hivyo basi lugha kama kijerumani, kidachi, kiingereza hata kiswidi nazo zingekuwa lugha chotara kwa kuwa zimeazimana sana misamiati.

Lugha za kiroma: kilatini, kiitaliano, kifaransa, kihispania na kireno zimeazimana sana misamiati kiasi kwamba wazungumzaji wanaweza kusikilizana hata kama hawaongei lugha moja.

Hivyo, hata kama Kiswahili kina maneno mengi ya kiarabu hatuwezi kukiita kiarabu kwa kuwa hata kiarabu chenyewe kimeazima maneno mengi sana kutoka kihindi, kiajemi na hata kiebrania.

Tujivunie Kiswahili chetu, ni lugha yetu waAfrika.
Hiki ndicho nilichojifunza na kukielewa nikiwa kidato cha tatu... kiswahili ni kibantu kutokana na muundo wa sentensi zake unafanana na kibantu....
Mfano: mtoto anaoga mtoni
Nomino + kitenzi + kielezi
Ukichukua hiyo sentensi hapo juu ukaibadili kwa lugha tofauti za kibantu nyingi tutapata muundo unaofanana na huo wa kiswahili.

Hoja ya misamiati haina mashiko sana kwani ikiwa hivyo basi tunaweza kusema kiswahili ni kiingereza, kijerumani, kireno nk.....
Kukopa misamiati kutoka lugha nyingine ni sifa ya lugha karibu zote.
 
Mkuu Makanjam, hakuna aliesema kiswahili ni kiarabu, ila tunasema kwenye Kiswahili kuna maneno mengi sana ya Kiarabu.
Punguza uongo mkuu iv unaposema asilimia 60 almost lugha yote ya kiswahili ni kiarabu....ukwel ni kua theluthi moja ya maneno ya kiswahili ndio yanatokana na lugha ya kiarabu tofaut na hapo acha kutudanganya....
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
So what?
 
Kumbe haujui kwamba kuna inchi za Kiarabu hapa Africa au haujasoma Jiografia bro?
Kiarabu asili yake ni Uarabuni.

Kama Kiingereza ambavyo licha ya kuwa kinaongewa Marekani na Australia, lakini asili yake ni Uingereza.

Hizo nchi unazosema nishafika. Mpaka kupanda mgamia.The Arabs of North Africa migrated there from outside Africa.

Ukisema Kiarabu ni lugha ya Africa ni sawa na kusema Kiswahili ni lugha ya asili ya Wichita Kansas kwa sababu Waswahili wengi wamehamia huko.

Au kusema Afrikaans ni lugha ya asili ya South Africa.

Kama Kiarabu ni lugha ya asili ya Africa na Waarabu wa Uarabuni lugha yao ya asiki ni ipi?

Hujaelewa nilivyotofautisha kati ya lugha ya asili na lugha inayoongewa?
 
Back
Top Bottom