jaiy4
Member
- Oct 13, 2015
- 97
- 74
Nakubali kiswahili kina maneno mengi ya kiarabu lakini hayafiki asilimia 60 ya maneno yote, mengi ni ya kibantu, na maneno macheche kutoka kwenye kireno, kijerumani, kiengereza na hinduAsilima 60 ya maneno ya kiswahili ni kiharabu....? Mliosoma kiswahili vizuri fom 3 mnikumbushe aisee labda sikua naelewa vizuri vizuri kwenye kiswahili nadhani hio takwimu sio sawa