Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuambia toka mwanzo kua hauko sawa ukabisha sana na kusema sina hojaSio Kimbadu,
kibantu.
Sasa hebu tusaidie hapa tumalize huu ubishi wako wa kitoto.Ok kuna makabila na lugha...hivi vitu ni tofauti inawezekana humeshindwa kuelewa...kiswahil ni lugha imetokana na kabila za kibantu...kua muelewa mwarabu wewe...
Niliposema mtz asili yake ni kibantu maan ni kua kibantu ndo kimeunda kiswahili...mkuu ebu nambie umesoma somo la kiswahili mpka kidato cha ngapi....maana kuna kidato ukifika tunasoma chanzo cha kiswahili maendeleo yake na maneno yaliokopwa kutoka lugha jirani
Kweli kabisa Akhui Kahtaan, wanafanana hata kwa uduni wa busara piaKijana hoja Huna.
Nimeshakwambia Wewe na Mswahili yyt hana budi Kutumia maneno ya kiarabu mpk Kufa.
Halafu nyie wakolosai watu wa ajabu sana.
Roho zenu zilivyo korosho kwa waislamu mnaamua KUUKATAA hata Ukweli kuwa Kiswahili Ni lugha iliotokana na KIARABU tu kwa sababu UISLAMU umehusishwa na Lugha hio!!
Yaani ingekuwa Kiswahili kimetokana na Kiingereza (wakoloni waliouleta Ugalatia hapo Africa) wewe ungepiga vigelegele hapa mpk kukuche.
Ajeeb nyie viumbe.
Duh....!
Yaani Sura zenu na roho zenu zinafanana kabisa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole pole mkuu...mimi ukinita jina lolote lililo kwenye bible sina shida...nimesema situmii kiarabu natumia kiswahili mbona unanilazimisha kutumia kiarabu
Kuna kitu nimegundua mkuu..ninaposema asili yake ni kibantu kumbe ulikua huelewi kabisa...kibantu ni makabila tofauti zaidi ya 120...kibantu sio Kimbandu
Nakupa mfano wa misamiati asili ya kiswahil unifafanulie...sikuiz lugha imerahisishwaUtatumia kiarabu mpaka siku yako ya kufa upende usipende, hapo kwenye paragraph yako umetumia maneno ya kiarabu bila ya wewe kujijua (sikulaumu labda haujui hilo).
Uduni upi tulionao nao wakolosai...fafanua hapo kielimu, kifikra, maendeleo au nini labda sijakuelewa halafu nikwambie kitu....Kweli kabisa Akhui Kahtaan, wanafanana hata kwa uduni wa busara pia
Hahaha,Ok kuna makabila na lugha...hivi vitu ni tofauti inawezekana humeshindwa kuelewa...kiswahil ni lugha imetokana na kabila za kibantu...kua muelewa mwarabu wewe...
Niliposema mtz asili yake ni kibantu maan ni kua kibantu ndo kimeunda kiswahili...mkuu ebu nambie umesoma somo la kiswahili mpka kidato cha ngapi....maana kuna kidato ukifika tunasoma chanzo cha kiswahili maendeleo yake na maneno yaliokopwa kutoka lugha jirani
Mkuu,kadri ilivyo huwez kutofautisha Kiswahili na Kibantu na Kiarabu. Nasema huwezi kamwe. Maneno mengi mno ya Kiswahili ni purely Arabic. Maneno mengine yamechukuliwa kutoka English na lugha zingine,lakini kimuundo ni BANTU na ARABICKuna kitu nimegundua mkuu..ninaposema asili yake ni kibantu kumbe ulikua huelewi kabisa...kibantu ni makabila tofauti zaidi ya 120...
hii itakua ni ngumu kabisa mimi na wewe kuelewana aisee...ungekua umesoma somo la kiswahili kidato flani hivi ungenielewa....na mifano hipo mingi tu jinsi maneno ya kiswahili yalivoundwa kutokana na makabila ya kibantu
Pia sio kiarabu tu kuna baadhi wanasema asili ya kiswahili ni watu walioishi misitu ya kongo, kuna ushahid u nakataa na kupiga hio nadharia, kuna vyanzo mbalimbali vinadaiwa kua ni asili ya kiswahili ila ambayo ilikua kua verified ni kibantu....sasa hapo kwenye kibantu kuna jinsi muunganiko wa maneno ulivyo tokea na kutengeneza kiswahili
Sifa moja wapo ya lugha ni kutojitosheleza...hapo ndo utakuta kingereza kina maneno ya kigiriki na kilatin, utakuta kiswahili kina maneno ya kiarabu na kireno
Ndo maana kuna comment flani nilikuliza sifa kuu za lugha ukashindwa kujibu....naomba tuishie Hapa mkuu
Kitu kibaya duniani ni kumtambia mtu elimu yako dunianHahaha,
Wewe hata Kiswahili haujui unataka kushindana?
Je unaniruhusu nikutolee makosa yako kwenye paragraph yako hiyo hapo juu.
Sisi Waislamu hatujisifu lakini kama bado unataka kujua elimu yangu, ni PM nitakutumia copy za shahada zangu zote kama unahisi zitakusaidia. Ama kweli akili ni mali.
Tunaongelea Afrika, hivyo ukitoa lugha za kuazima, lugha kubwa inayotumika Afrika ambayo ni made in Afrika ni KISWAHILI.
Mkuu kuna kitu nielewe sijakataa....theluthi ya maneno ya kiswahili ni kiarabu hakuna mtu anaepinga hili na nikipinga takua mjingaMkuu,kadri ilivyo huwez kutofautisha Kiswahili na Kibantu na Kiarabu. Nasema huwezi kamwe. Maneno mengi mno ya Kiswahili ni purely Arabic. Maneno mengine yamechukuliwa kutoka English na lugha zingine,lakini kimuundo ni BANTU na ARABIC
Hizi takwimu zina walakini; labda kama kuna vigezo ambavyo havijatajwa hapa vimetumika kuandaa takwimu hizi. Mfano, Amharic ni lugha kuu inayotumiwa katika Ethiopia, Eriteria na majirani wachache wa maeneo hayo. Iweje iwe na watumiaji 25m tu wakati Ethiopia kama nchi ina watu wasiopungua 80m?
Hahahaha ata kisukuma ni kibantu pia, napenda utani kuliko kejeli, asante kwa utani wako ....kesho mkuu usiku mwemaLabda unamaanisha Kibantu au Kimbundu sio Kimbandu msukuma wee. Acha tukusaidie.
Sister Faiza,Hapo umechemsha tena vibaya sana, Eritrea lugha kuu ni Tigrinya na si Amharic inayofatia ni Kiarabu sambamba na Tigre.
Na lugha inayoongewa na wengi Ethiopia ni Oromo, Amharic ni lugha inayofuatia.
Na ho jirani unaowataja ni wepi?
Hivi kwanini huwa mnapenda kuleta habari ambazo hamna yakini nazo? Fanyeni ka research japo kiduchu kabla hajaja kuptosha watu humu.
Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hapa Africa kuna inchi zaidi ya kumi zinazongea lugha ya Kiarabu, kwa mfano Misri, Tunis, Morocco, Libya, Sudan, Moritania, djibouti, Baadhi ya Eritrea, Baadhi ya Wasomali, na Baadhi ya Wa Comoro (hata huko na Niger na Chad baadhi yao wanaongea Kiarabu).Kwa maana ya lugha inayozungumzwa zaidi au yenye wazungumzaji wengi zaidi kiingereza ndo kinaongoza kiarabu ni lugha ya pili wajameni..