Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikra nzuri sana, Shukran.Hapa tatizo kubwa ni moja,wengi elimu yao ni ya kucopy na kupest ,hawajapata busara za kutumia vichwa vyao.
Na wengi wanaongea kwa chuki na jazba
Hawana uwezo wa kufanya uchunguzi.
Natoa changamoto moja,
Wajitokeze watu wa kujitolea tulifanyie uchunguzi hii tusiwe kama MUNGU hajatubariki akili.
Stoke mmoja wa kuwakilisha maneno yenye asili
Ya Kiarabu na mwengine aorodheshe yenye asili ya kiingereza na mwengine aorodheshe yenye asili ya kireno na mw engine kijerumani na mwengine kipindi yatakayo baki tutayachuja tuweke kibantu pembeni tupige hesabu
Kama kweli ni watu wenye busara.
Ni nacho taka kukwambia hiyo shule waliokufundisha ,vichwa vyao pia ni mambumbuAsilima 60..? Hapana...mliosoma historia ya kiswahili vizuri fom 3 mnikumbushe aisee hii takwimu nadhani sio sahihi
SadaktaKwa hiyo unataka kusema mashuleni tulidanganywa siyo?
Hicho Kiarabu sijawahi kutamka hata neno moja ktk Kiswahili.
Hilo sio kweli kiswahili ni lugha ya pekee ya waswahili hakuna mswahili mwenye lugha nyengine isipokua waswahili wanatofautiana kwa lahaja tuMwarabu huwez kua na lugha nyingne tofaut na kiswahil...ila ambae wazaz wake wana asili ya nchi hii ni lazima aanze kua mwanachama ww bantu ndo aje aseme kiswahil lugha yake...tuna kabila zaidi ya 120 zinazounda kiswahil...full Stop
Waliobaki ni waongeaji wa Kiswahili lakini si waswahili.Hilo sio kweli kiswahili ni lugha ya pekee ya waswahili hakuna mswahili mwenye lugha nyengine isipokua waswahili wanatofautiana kwa lahaja tu
Kimvita
Kibajuni
Kimtang'at a
Kifunzi
Kimrima
Kiunguja
Kimwini
Kipemba
Kingazija
...nadhani unajua makabila yote ya kibantu mkuu...kama una hio asili ya kibantu basi wewe mtanzania
Kiarabu sio lugha ya Kuazima, Kwa mfano Misri, Morocco , Tunisia, Libya, Algeria, Mauritania .... Kiarabu ni lugha yao.
Acha kuropokwa hovyo wewe, au unaumwa malaria? Hahaha
1)Kumbe wewe kafiri?Ww jamaa mfia dini sana kama utakuwa mwarabu uko sahihi ila kama mwafrika then una ushikia bango ivo wislamu basi akili yako ni mgando sana nakufatilia topics zako sana hapa maudhui ya kuleta hii list ni vile Arabic tu ipo top kitu ambacho sio kweli unajua population ya nigeria na wanazungumza lugha gani....Pathetic
Huna hoja wewe.
Kumbe haujui kwamba Misri, Algeria, Libya, Tunis, Morocco... Lugha yao ni Kiarabu!?
Huna hoja.
Thanks.