Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Hapa tatizo kubwa ni moja,wengi elimu yao ni ya kucopy na kupest ,hawajapata busara za kutumia vichwa vyao.
Na wengi wanaongea kwa chuki na jazba
Hawana uwezo wa kufanya uchunguzi.
Natoa changamoto moja,
Wajitokeze watu wa kujitolea tulifanyie uchunguzi hii tusiwe kama MUNGU hajatubariki akili.
Stoke mmoja wa kuwakilisha maneno yenye asili
Ya Kiarabu na mwengine aorodheshe yenye asili ya kiingereza na mwengine aorodheshe yenye asili ya kireno na mw engine kijerumani na mwengine kipindi yatakayo baki tutayachuja tuweke kibantu pembeni tupige hesabu
Kama kweli ni watu wenye busara.
Fikra nzuri sana, Shukran.
 
Asilima 60..? Hapana...mliosoma historia ya kiswahili vizuri fom 3 mnikumbushe aisee hii takwimu nadhani sio sahihi
Ni nacho taka kukwambia hiyo shule waliokufundisha ,vichwa vyao pia ni mambumbu
Hadi leo wanaendelea kufundisha mtu wa kwanza kuliona ziwa victoria ni JOHN SPEKE na hilo na yeye akalipa jina ziwa nyanza kuwa victoria ,bado unataka kibiashara kwa ulichokisoma shule.

Kuna mengi tu wamekudanganya shule lakini hapa sio mada yake.
 
Tuwatunze hawa ndugu zetu wanaoongea ki Hadza. Ni wachache kuliko idadi ya vifaru tz. Serikali/Nape na wizara yake waangalie namna ya kuitunza hiyo lugha isipotee. Ni tunu ya taifa.
 
Mwarabu huwez kua na lugha nyingne tofaut na kiswahil...ila ambae wazaz wake wana asili ya nchi hii ni lazima aanze kua mwanachama ww bantu ndo aje aseme kiswahil lugha yake...tuna kabila zaidi ya 120 zinazounda kiswahil...full Stop
Hilo sio kweli kiswahili ni lugha ya pekee ya waswahili hakuna mswahili mwenye lugha nyengine isipokua waswahili wanatofautiana kwa lahaja tu
Kimvita
Kibajuni
Kimtang'at a
Kifunzi
Kimrima
Kiunguja
Kimwini
Kipemba
Kingazija
 
Hilo sio kweli kiswahili ni lugha ya pekee ya waswahili hakuna mswahili mwenye lugha nyengine isipokua waswahili wanatofautiana kwa lahaja tu
Kimvita
Kibajuni
Kimtang'at a
Kifunzi
Kimrima
Kiunguja
Kimwini
Kipemba
Kingazija
Waliobaki ni waongeaji wa Kiswahili lakini si waswahili.
 
Ni lugha ya kuazima kwani ililetwa na wahamiaji haramu
Acha kuropokwa hovyo wewe, au unaumwa malaria? Hahaha

Kumbe haujui kwamba Misri, Algeria, Libya, Tunis, Morocco... Lugha yao ni Kiarabu!?
 
Ww jamaa mfia dini sana kama utakuwa mwarabu uko sahihi ila kama mwafrika then una ushikia bango ivo wislamu basi akili yako ni mgando sana nakufatilia topics zako sana hapa maudhui ya kuleta hii list ni vile Arabic tu ipo top kitu ambacho sio kweli unajua population ya nigeria na wanazungumza lugha gani....Pathetic
 
Ww jamaa mfia dini sana kama utakuwa mwarabu uko sahihi ila kama mwafrika then una ushikia bango ivo wislamu basi akili yako ni mgando sana nakufatilia topics zako sana hapa maudhui ya kuleta hii list ni vile Arabic tu ipo top kitu ambacho sio kweli unajua population ya nigeria na wanazungumza lugha gani....Pathetic
1)Kumbe wewe kafiri?

2)Pia haujii kwamba Nigeria kuna lugha 250.

3)Hapa tunaongelea kuhusu Lugha sio dini, wewe ndio umetoka nje ya mada hii, umeleta mambo ya dini.
 
Back
Top Bottom