Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Wewe unachojua Ni kuchangia hela Tu?Nyerere hakuchangia, alichangiwa na wazee wa Dar kwenda umoja wa mataifa.
Yule baba na ubahili ule! Majanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unachojua Ni kuchangia hela Tu?Nyerere hakuchangia, alichangiwa na wazee wa Dar kwenda umoja wa mataifa.
Yule baba na ubahili ule! Majanga.
Itanisaidia nini hayo yote? Sio muhimu kwangu!We mkerewe mpk wali umefundishwa kula na Waarabu.
Bila wao ungeendelea kula funza wabichi mpk Yesu atakaporudi.
Teh teh teh.
Waijua halua wewe? Ukionjeshwa kiduchu na huo ulimi wa kikerewe ka bati unaweza kusisimka mwili ukaadhini kabla ya saa.
Teh teh teh teh.
We muhimu kwako nini km lugha ya Taifa huijui?Itanisaidia nini hayo yote? Sio muhimu kwangu!
Wewe unachojua Ni kuchangia hela Tu?
Mimi sio nyumbu mfia dini wa imani am free na Sina mambo za dini yoyote, Ebu ujiongeze sio unatumia Kichwa kufugia nywele tu1)Kumbe wewe kafiri?
2)Pia haujii kwamba Nigeria kuna lugha 250.
3)Hapa tunaongelea kuhusu Lugha sio dini, wewe ndio umetoka nje ya mada hii, umeleta mambo ya dini.
We muhimu kwako nini km lugha ya Taifa huijui?
Au we banyamulenge? Manake nchi hii iliopiganiwa na wazee wetu wa KIISLAMU wahamiaji Haramu mmejaa sana.
Siku tukianzs msako wa wachafuzi wa lugha hatutokupa nafasi hata ya kurudia kikapu chako nyumbani.
Tunakutupeni kwenye malori ya mchanga halafu tunaenda kukumwageni Rwanda.
Jifunze lugha ya Kiswahili Fasaha.
Lugha iliotokana na Lugha ya KIARABU.
Ahsanta.
Teh teh teh.Na ww ni great thinker?
Kila siku channel E inasema kiarabu namba moja na kiswahili. Namba mbili...The 6 most spoken language in Africa
View attachment 331818
1) Kiarabu 200 Million
2) Kiingereza 150 Million
3) Kiswahili 140 Million
4) Kifaransa 115 Milliion
5) Hausa 50 Million
6) Amrik 25 Milion
That's why Afrika is the Poorest continent of all...Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.
Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.
Pia,
Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, lugha, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, Swahili, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).
Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Tayari unaongea kiarabu bila ya kujijua, Kiswahili ina maneno mengi sana ya kiarabu.Ukweli ndo huo! Mnatamani Africa yote tuongee Kiarabu, mnatamani hata mtushikie mitutu!.....Hujambo lakini Bi. Mdada?
Inchi hizi zote zinaongea Kiarabu, Misri, Tunis, Algeria, Morocco, Moritania, Libya, Sudan, Eritrea, Baadhi ya Comoro, Djibouti hata baadhi ya Wasomali, Niger na baadhi ya Wachad wanaongea Kiarabu pia (ndio maana ipo number one in Africa). Huu ndio ukweli.At least hii ina-reflect ukweli hasa upande wa english:
1: Nigeria
2: S.Africa
3: Zambia
4: Zimbabwe
5: Uganda
6: Kenya
7: Malawi
8: Botswana
9: Liberia