- Thread starter
- #21
Leo imekuwa muuza nyanya, Juzi Si ulijinadi kuwa u mwanasiasa tena kiongozi mkubwa?msingeiba ndizi, vitunguu, nyanya , karoti, hoho, ndimu, viazi, mauzo ya siku na vingine vingi mlivyoibaga kwenye banda langu la kujitaftia riziki, angalau ningewaelewa kuhusu maandamano ya amani....
ule ujamabazi mlufanya kumbafu zenu nyie wezi nina hasira siku mjichanganye tena......
mnaimba, tunadai haki zetu huku mnabugia ndizi za wizi mlizoiba bandani kwangu kweli? hiyo ndio haki?
au kupora vya watu ndicho mnachtetea?
yaani mnadhulumu vitu vya wanyonge halafu mnaenda kudai serikalini.......
na huyo adelphina wenu hizo data za matrilioni ya pesa mbona anazo yeye tu? amejipiklishia wapi......
Jikite kwenye mada🙏
Usilete Lugha- Gongana!!