Lugha gongana: Wananchi tunataka pesa irudi, wanasiasa wanavizia koti la kiranja mkuu

Leo imekuwa muuza nyanya, Juzi Si ulijinadi kuwa u mwanasiasa tena kiongozi mkubwa?

Jikite kwenye mada🙏

Usilete Lugha- Gongana!!
 
Kwani tatizo ninini, so tulishasema kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake au mnasemaje huko!?
 
Leo imekuwa muuza nyanya, Juzi Si ulijinadi kuwa u mwanasiasa tena kiongozi mkubwa?

Jikite kwenye mada🙏

Usilete Lugha- Gongana!!
ndiko niliko toka na siachi banda langu na kwakweli ndio msingi wa urithi wa maisha bora ya wanangu nataka uanzia hapa, hata niwe rais,
na wala sioni haya hata kidogo kujitetea na kuwatetea wenye mabanda wenzangu coz ndiyo msingi unaotupatia heshima ya kiuchumi ya kulisha familia zetu, ndiko tunakopata cha kowasomeshea wanetu na kusoma wenyewe kujiendeleza na kwakweli hata sauti, hekima na busara tulizonazo, ukiachilia mbali Neema na baraka za Mungu ni hiki kibanda mlichowahi kukiporo na kunirudisha chini kabisa kiuchumi,

Namshukuru Mungu, nimesimama imara sana mahali pa juu mno,
mpina , wewe pamoja na waandamanaji haramu wote msisumbue watu kwa fujo na upotoshaji ambao hausaidii chochote...
 
Kazi kweli kweli !!
 
Mbinu zinazotumika kuficha ubadhirifu moja kubwa ni kupoteza ushahidi. Hii inafanyika katika namna tofauti lakini matokeo ni kukosa ushahidi wa kuonyesha na kuishawishi mahakama:

1. Kuchoma ofisi kwa kusingizia ajali
2. Kubadilisha jina la kampuni.
3. Kutangaza kufilisika na kufunga
biashara.

Nduru inayopigwa na wabunge wa CCM ya kutamani Baraza la mawaziri livunjwe, inaangukia kwenye hicho kipengere cha tatu. Juhudi za dhati za kuwawajibisha waliokosea kwa makusudi hazionekani kwenye kundi hili, labda kutoka kwa wapinzani au wananchi ambao kimsingi ni watazamaji tu.

Hebu tuchemshe bongo zetu kwa kutafakari kile kinachoendelea TRA, ambao mwanzoni mwa mwaka walidai wanaboresha mfumo wa makusanyo ya kikodi kupitia mtandao, takwimu za nyuma hapo zimesahaulika.

Mamlaka ya leseni za biashara nao wamekuja na mtindo mpya unaofanya leseni za nyuma kutokuwa na maana kwa sasa.
Mambo yameanzishwa upya na ya kale kusahaulika. Hakuna namna unaweza kuhoji ubadhirifu wa nyuma.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…