Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA !
Lugha ni kifaa muhimu sana, kwa wanaofika huko unakuta wanapata ugumu sana kusocialize, mtu kaenda majuu lakini confidence inashuka kwasababu ya lugha.
Watanzania walio majuu ni watu wachache sana, wanaoweza kuwa company yako at least wanaweza kuwa wakenya.
Watanzania wengi uwachukua miaka kama miwili hivi ili kuizoea lugha yaani kuongea na kuelewa accent / lafudhi za majuu