Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana kongo ni tishio kwa lingala

Kongo ni kubwa, kuna lahaja zaidi ya 200. Kuna maeneo wanaongea Kiswahili hasa jimbo la Tanganyika, Kasumbalesa yote, Kalemie na Moba.
Kuna maeneo wanaongea kifaransa, yapo maeneo ni kikongo na kikasai.

Kiswahili hakiwezi kuipiku "mother tongue" language ambayo ni Lingala hapo Kongo.
 
Ni kweli wanajaribu kukifanya kiswahili kuwa lugha yao kuu lakini bado wana safari ndefu.Kiswahili wanachokiongea ni kibovu kuliko ubovu wenyewe.Wakazane zaidi.

Kongo kubwa, Kiswahili kipo kwenye maeneo. Lugha yao ya umama ni lingala "Mother tongue", lugha ya kiofisi ni kifaransa. Kiswahili chao ni kibovu sababu ya Lingala, ni ngumu mkongomani aongee Kiswahili fasaha.
 
Kongo ni kubwa, kuna lahaja zaidi ya 200. Kuna maeneo wanaongea Kiswahili hasa jimbo la Tanganyika, Kasumbalesa yote, Kalemie na Moba.
Kuna maeneo wanaongea kifaransa, yapo maeneo ni kikongo na kikasai.

Kiswahili hakiwezi kuipiku "mother tongue" language ambayo ni Lingala hapo Kongo.
Tunapoelekea itakuwa 50/50 lugha ya kiswahili Kongo imepata umaarufu mkubwa ukanda wa mashariki hadi kuna vyombo vya habari wanatoa habari zao kwa lugha ya kiswahili
 
Mm nawapongeza wakongo kwakupambana kujua lugha NYINGI zaidi na hii ndyo inayowapa confidence ya kutoogopa kuvuka mipaka nje ya nch Yao kutafuta maisha popote Dunian

Sisi tunauoga SANA wakutoka nje sabau ya lugha waliojaribu kutoka wengi walirud nyumban ukiwauliza wanasema upweke umewarudisha nyumban lakn behind the scene mawasiliano kwao ndio kikwazo kikubwa wanabak kuwa mabubu

Na sisi n wakat wa kufundisha lugha MBALIMBALI Toka darasa la awal lugha kama kifaransa kiingereza na hata kireno na kihispaniola kiwe muhimu kisoma hii itapelelea vijana wengi kufungua fikra na kwenda maeneo MBALIMBALI kutafuta rizik
 
Kama wasanii wa kikongo wangeendelea kuimba kwa kiswahili wakiwa kwenye prime ingesaidia sana kukua kwa kiswahili DRC.

Gen Defao pamoja na kuzaliwa Kinshasa alikuwa mswahili mzuri tu.
 
Mm nawapongeza wakongo kwakupambana kujua lugha NYINGI zaidi na hii ndyo inayowapa confidence ya kutoogopa kuvuka mipaka nje ya nch Yao kutafuta maisha popote Dunian

Sisi tunauoga SANA wakutoka nje sabau ya lugha waliojaribu kutoka wengi walirud nyumban ukiwauliza wanasema upweke umewarudisha nyumban lakn behind the scene mawasiliano kwao ndio kikwazo kikubwa wanabak kuwa mabubu

Na sisi n wakat wa kufundisha lugha MBALIMBALI Toka darasa la awal lugha kama kifaransa kiingereza na hata kireno na kihispaniola kiwe muhimu kisoma hii itapelelea vijana wengi kufungua fikra na kwenda maeneo MBALIMBALI kutafuta rizik
Kwasisi hapana tulipofikia tunatakiwa tukipe nguvu kiswahili zaidi kwenye region yetu hii ya Afrika mashariki itasaidia kuwafungulia watu wetu fursa za kiuchumi , tukianza kufundisha lugha zengine tutakididimiza kiswahili
 
Back
Top Bottom