Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Yes Mkuu,huwa nashangaa watu wakisema wamanyema ni watu kigoma,Si ndiyo huko chimbuko la wamama Wamanyema wa Kariakoo
Yes Mkuu,huwa nashangaa watu wakisema wamanyema ni watu kigoma,Si ndiyo huko chimbuko la wamama Wamanyema wa Kariakoo
Hahahaha mkongo km muhindi tu hata akae miaka 50 ,hawajui kiswahili kizuriNyoshhh ile ni identity yake akibadilika hamtamuelewa
Tumika kazi utapata. Hatuna fasi ya kulumba.Basi ni lafudhi mbaya mnoo!Ni sawa na muha atake kuongea kiswahili kwa lafudhi ya kizaramo.Vituko.
Swahili Yao mbovu sana, mtanzania kuelewa ngumuAcha huo muingiliano kwa wakongo hawana lahaja zao za kiswahili?
Unafanya KAZI huna muda au nafas wa kuongeaTumika kazi utapata. Hatuna fasi ya kulumba.
Mbongo hana lugha ya kigeni anayoijua ktk hii EAC ,si kifaransa,si kireno si hicho kingereza chenyeweMkuu nakuunga mkono. Wakongo wengi kwa sasa wanajua lingala, kiswahili na kifaransa huku wakijifunza kiingereza kwa wivu mkubwa. Nina rafiki yangu Lubumbashi anacharaza Lingala, Kiswahili, kifaransa na kiingereza. Wabongo wengi tunajua kiswahili tu.
Congo ya Mashariki,Bukavu,Uzira,Goma,Maniema ,kindu, Tanganyika,huo ukanda ni ukanda wa ziwa Tanganyika ni kama Pwani Yao, Wana muingiliano na waswahili
Ahsante 🙏 sana Mkuu,umeilezea vzr na kwa ufupi,big upNdio ni muingiliano. Kuna muingiliano mkubwa sana hasa maeneo yaliyo karibu na Ziwa Tanganyika. Jimbo la Tanganyika loote, Kalemie, Moba kote kule.
Makabila mengi sio Manyema peke yao, asili yao ni Congo DRC. Kabila la Wafipa, Walungu, Wamanyema wa Kigoma ambao wengine ni waha, ni asili kutoka milima Kongo. Tumeingiliana sana kwa karne nyingi, shughuli za biashara, tamaduni zetu, uhamaji wa watu na undugu. Kinachotokea ni nchi kubwa sana ndio maana Kiswahili hakiwwzi enea kongo yote, kinashindwa. Maeno kama Mbuji-Mayi, Kinshasa kiswahili hakiwezi kufika ni mbali sana kutoka jamii ya kiswahili.
Inasikitisha sana. Pia wabongo wengi hata wakitoka kwenda kwa watu ni wazito kujifunza lugha za wenyeji. Na huwa wanapata shida kwelikweli.Mbongo hana lugha ya kigeni anayoijua ktk hii EAC ,si kifaransa,si kireno si hicho kingereza chenyewe
Rais wa mchongo ana elimu ya mambo ya hapa na pale, na PhD kibao za urojo.. mbona humsemi.Inasikitisha sana. Pia wabongo wengi hata wakitoka kwenda kwa watu ni wazito kujifunza lugha za wenyeji. Na huwa wanapata shida kwelikweli.
Wewe unagongwa huko nyuma ndo maana una mawazo ya kipuuzi.Rais wa mchongo ana elimu ya mambo ya hapa na pale, na PhD kibao za urojo.. mbona humsemi.
Pengine we ni mgeni,kiswahili huko congo kiponmiaka mingi na lahaja yake ni kilungwana.Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana nchini kongo hadi kunamaeneo hawazungumzi kabisa Lingala , ukienda mashariki mwa kongo kiswahili ndio lugha inayozungumzwa sana.
Vizuri ingawa nyimbo zilizoimbwa kilingala bana ni tamu sanaLugha ya kiswahili imepata nguvu sana nchini kongo hadi kunamaeneo hawazungumzi kabisa Lingala , ukienda mashariki mwa kongo kiswahili ndio lugha inayozungumzwa sana.
Bon,tushemage kweli ya Mnyazi Mungu!Muuko na kishwahili yenye iko mubaya saa vile sura ya likakuu!Hamukubalikeee!?Tumika kazi utapata. Hatuna fasi ya kulumba.
Hivyo hivyo kiingereza chenyewe ndani ya uingereza hakifanani kuna kiingereza ukisikia utasema ni kilugha ndo ukuaji wa lughaNi kweli wanajaribu kukifanya kiswahili kuwa lugha yao kuu lakini bado wana safari ndefu.Kiswahili wanachokiongea ni kibovu kuliko ubovu wenyewe.Wakazane zaidi.
Banawezania ya wapi mukubwa yangu?Eske banalobaloba saa vile bapetit bako mukulumbalumba mumichezo yabo.Njoo kishwahili ya foon san troo?Ili mradi wanaweza kuwasiliana inatosha.
HhhhhBanawezania ya wapi mukubwa yangu?Eske banalobaloba saa vile bapetit bako mukulumbalumba mumichezo yabo.Njoo kishwahili ya foon san troo?
Umeelewa nini hapo?Hhhhh
siyo Congo tu, Kiswahili kilitumika na majeshi ya ukombozi kwa baadhi ya nchi za east africaLugha ya kiswahili imepata nguvu sana nchini kongo hadi kunamaeneo hawazungumzi kabisa Lingala , ukienda mashariki mwa kongo kiswahili ndio lugha inayozungumzwa sana.
Wewe ndo unaona ni kibovu ila wao wanaelewanaNi kweli wanajaribu kukifanya kiswahili kuwa lugha yao kuu lakini bado wana safari ndefu.Kiswahili wanachokiongea ni kibovu kuliko ubovu wenyewe.Wakazane zaidi.