Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana kongo ni tishio kwa lingala

Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana kongo ni tishio kwa lingala

Mm nawapongeza wakongo kwakupambana kujua lugha NYINGI zaidi na hii ndyo inayowapa confidence ya kutoogopa kuvuka mipaka nje ya nch Yao kutafuta maisha popote Dunian

Sisi tunauoga SANA wakutoka nje sabau ya lugha waliojaribu kutoka wengi walirud nyumban ukiwauliza wanasema upweke umewarudisha nyumban lakn behind the scene mawasiliano kwao ndio kikwazo kikubwa wanabak kuwa manunu

Na sisi n wakat wa kufunfisha lugha MBALIMBALI Toka darasa la awal lugha kama kifaransa kiingereza na hata kireno na kihispaniola kiwe muhimu kisoma hii itapelelea vijana wengi kufungua fikra na kwenda maeneo MBALIMBALI kutafuta rizik
Na ndivyo nduguzo Watanganyika walivyokosa maono.Huwa tunawapa challenges wajifunze lugha za kigeni hasa kiingereza,ambacho ni Kiswahili cha dunia, lakini wanakibeza.Lugha inahitaji jitihada na umakini wenye kujitoa hasa.
 
Mimi naomba niwaite Wazaire kwasababu Congo zipo mbili.

Hawa jirani zetu Wazaire wanafanyaga kusudi tu, sio kwamba hawajui kiswahili.
Wanakijua kuliko hata Waganda.

Sasa mfano yule mwanamuziki anayejikirimu, Nyoshi....
Nyoshi ana miaka 30 yupo Dar, lakini kiswahili chache bado ni broken.
Max zengeli kaja jana tu.....na kiswahili anakisema vzr.
 
Nyoshhh ile ni identity yake akibadilika hamtamuelewa
 
Kongo kubwa, Kiswahili kipo kwenye maeneo. Lugha yao ya umama ni lingala "Mother tongue", lugha ya kiofisi ni kifaransa. Kiswahili chao ni kibovu sababu ya Lingala, ni ngumu mkongomani aongee Kiswahili fasaha.
Kwanini aongee kiswshili fasaha na sio lahaja yake? kiswahili fasaha ni kwa waliojifunza darasani na sio lugha ya wazawa,,
 
Kongo ni kubwa, kuna lahaja zaidi ya 200. Kuna maeneo wanaongea Kiswahili hasa jimbo la Tanganyika, Kasumbalesa yote, Kalemie na Moba.
Kuna maeneo wanaongea kifaransa, yapo maeneo ni kikongo na kikasai.

Kiswahili hakiwezi kuipiku "mother tongue" language ambayo ni Lingala hapo Kongo.
Wakianza kufundisgia mashuleni tu hizo lugha za kijamii zitapoteza ushawishi
 
Mm nawapongeza wakongo kwakupambana kujua lugha NYINGI zaidi na hii ndyo inayowapa confidence ya kutoogopa kuvuka mipaka nje ya nch Yao kutafuta maisha popote Dunian

Sisi tunauoga SANA wakutoka nje sabau ya lugha waliojaribu kutoka wengi walirud nyumban ukiwauliza wanasema upweke umewarudisha nyumban lakn behind the scene mawasiliano kwao ndio kikwazo kikubwa wanabak kuwa mabubu

Na sisi n wakat wa kufundisha lugha MBALIMBALI Toka darasa la awal lugha kama kifaransa kiingereza na hata kireno na kihispaniola kiwe muhimu kisoma hii itapelelea vijana wengi kufungua fikra na kwenda maeneo MBALIMBALI kutafuta rizik
Mkuu nakuunga mkono. Wakongo wengi kwa sasa wanajua lingala, kiswahili na kifaransa huku wakijifunza kiingereza kwa wivu mkubwa. Nina rafiki yangu Lubumbashi anacharaza Lingala, Kiswahili, kifaransa na kiingereza. Wabongo wengi tunajua kiswahili tu.
 
Back
Top Bottom