Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana kongo ni tishio kwa lingala

Lugha ya kiswahili imepata nguvu sana kongo ni tishio kwa lingala

Kiswahili kilizaliwa Zanzibar,kikaugua Kenya ,kikafia Uganda, kikazikwa Congo...
 
siyo Congo tu, Kiswahili kilitumika na majeshi ya ukombozi kwa baadhi ya nchi za east africa
The RPA & Kagame: During the 1990s, the Rwandan Patriotic Army (RPA)—under the command of current President Paul Kagame—operated in the Great Lakes region. Because many RPA soldiers and returning exiles had spent time in Anglophone and Swahili-speaking East African nations like Uganda and Tanzania, Swahili and English became vital modes of communication. Today, Swahili is one of the official languages of Rwanda media

View: https://www.facebook.com/reel/2068368493744469

Swahili to the world
 
Mm nawapongeza wakongo kwakupambana kujua lugha NYINGI zaidi na hii ndyo inayowapa confidence ya kutoogopa kuvuka mipaka nje ya nch Yao kutafuta maisha popote Dunian

Sisi tunauoga SANA wakutoka nje sabau ya lugha waliojaribu kutoka wengi walirud nyumban ukiwauliza wanasema upweke umewarudisha nyumban lakn behind the scene mawasiliano kwao ndio kikwazo kikubwa wanabak kuwa mabubu

Na sisi n wakat wa kufundisha lugha MBALIMBALI Toka darasa la awal lugha kama kifaransa kiingereza na hata kireno na kihispaniola kiwe muhimu kisoma hii itapelelea vijana wengi kufungua fikra na kwenda maeneo MBALIMBALI kutafuta rizik
Kwanza kwa hali halisi ninayoiona nina shaka kama hata hapa Tanzania watu wengi wanauwezo wa kuongea na kuandika kiswahili kwa ufasaha unaokidhi.

Btw, nimekutana na Mkongo mmoja anafundisha kiswahili na kifaransa katika shule moja Afrika ya Kusini. Pia Mkongo mwingine anayefundisha kiswahili Belgium. Nimetokea Wakenya kadhaa wakifundisha Kiswahili katika international schools za baadhi ya nchi za Afrika hata hapa Tanzania. Bado sijamuona Mtanzania akifanya kazi hiyo.

Yawezekana tatizo likawa uenezi hafifu kwa upande wa Tanzania kuhusu vipaji vya lugha vilivyopo na fursa zilizopo. Pia inawezekana ni tatizo la kusisitiza lugha moja tu ya Kiswahili na kupuuza zingine ambazo nazo zina muhimu katika kuelewana na kusaidia kuelewesha wageni.
 
Back
Top Bottom