Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Na ndivyo nduguzo Watanganyika walivyokosa maono.Huwa tunawapa challenges wajifunze lugha za kigeni hasa kiingereza,ambacho ni Kiswahili cha dunia, lakini wanakibeza.Lugha inahitaji jitihada na umakini wenye kujitoa hasa.Mm nawapongeza wakongo kwakupambana kujua lugha NYINGI zaidi na hii ndyo inayowapa confidence ya kutoogopa kuvuka mipaka nje ya nch Yao kutafuta maisha popote Dunian
Sisi tunauoga SANA wakutoka nje sabau ya lugha waliojaribu kutoka wengi walirud nyumban ukiwauliza wanasema upweke umewarudisha nyumban lakn behind the scene mawasiliano kwao ndio kikwazo kikubwa wanabak kuwa manunu
Na sisi n wakat wa kufunfisha lugha MBALIMBALI Toka darasa la awal lugha kama kifaransa kiingereza na hata kireno na kihispaniola kiwe muhimu kisoma hii itapelelea vijana wengi kufungua fikra na kwenda maeneo MBALIMBALI kutafuta rizik
Kumbe Defao alikuwa anajua kiswahili , sikulijua hiloKama wasanii wa kikongo wangeendelea kuimba kwa kiswahili wakiwa kwenye prime ingesaidia sana kukua kwa kiswahili DRC.
Gen Defao pamoja na kuzaliwa Kinshasa alikuwa mswahili mzuri tu.
Defao kaishi sana KenyaKumbe Defao alikuwa anajua kiswahili , sikulijua hilo
Huyu kaishi sana Kenya Toka ujana wakeKama wasanii wa kikongo wangeendelea kuimba kwa kiswahili wakiwa kwenye prime ingesaidia sana kukua kwa kiswahili DRC.
Gen Defao pamoja na kuzaliwa Kinshasa alikuwa mswahili mzuri tu.
Je ipi ni sababu inayofanya kiswahili kizungumzwe sana Goma kuliko lingalaKuna majimbo DRC kiswahili ngumu kupenya..Kasai, Equatorial Kasai, Kinshasa huko Swahili ngumu kupenya
Congo ya Mashariki,Bukavu,Uzira,Goma,Maniema ,kindu, Tanganyika,huo ukanda ni ukanda wa ziwa Tanganyika ni kama Pwani Yao, Wana muingiliano na waswahiliJe ipi ni sababu inayofanya kiswahili kizungumzwe sana Goma kuliko lingala
Merci merciCongo ya Mashariki,Bukavu,Uzira,Goma,Maniema ,kindu, Tanganyika,huo ukanda ni ukanda wa ziwa Tanganyika ni kama Pwani Yao, Wana muingiliano na waswahili
rrrrrrrrrrrr kazia hapo na si lllllllllObligado
Nyoshhh ile ni identity yake akibadilika hamtamuelewaMimi naomba niwaite Wazaire kwasababu Congo zipo mbili.
Hawa jirani zetu Wazaire wanafanyaga kusudi tu, sio kwamba hawajui kiswahili.
Wanakijua kuliko hata Waganda.
Sasa mfano yule mwanamuziki anayejikirimu, Nyoshi....
Nyoshi ana miaka 30 yupo Dar, lakini kiswahili chache bado ni broken.
Max zengeli kaja jana tu.....na kiswahili anakisema vzr.
Ili mradi wanaweza kuwasiliana inatosha.Ni kweli wanajaribu kukifanya kiswahili kuwa lugha yao kuu lakini bado wana safari ndefu.Kiswahili wanachokiongea ni kibovu kuliko ubovu wenyewe.Wakazane zaidi.
Kwanini aongee kiswshili fasaha na sio lahaja yake? kiswahili fasaha ni kwa waliojifunza darasani na sio lugha ya wazawa,,Kongo kubwa, Kiswahili kipo kwenye maeneo. Lugha yao ya umama ni lingala "Mother tongue", lugha ya kiofisi ni kifaransa. Kiswahili chao ni kibovu sababu ya Lingala, ni ngumu mkongomani aongee Kiswahili fasaha.
Acha huo muingiliano kwa wakongo hawana lahaja zao za kiswahili?Congo ya Mashariki,Bukavu,Uzira,Goma,Maniema ,kindu, Tanganyika,huo ukanda ni ukanda wa ziwa Tanganyika ni kama Pwani Yao, Wana muingiliano na waswahili
Wakianza kufundisgia mashuleni tu hizo lugha za kijamii zitapoteza ushawishiKongo ni kubwa, kuna lahaja zaidi ya 200. Kuna maeneo wanaongea Kiswahili hasa jimbo la Tanganyika, Kasumbalesa yote, Kalemie na Moba.
Kuna maeneo wanaongea kifaransa, yapo maeneo ni kikongo na kikasai.
Kiswahili hakiwezi kuipiku "mother tongue" language ambayo ni Lingala hapo Kongo.
Si ndiyo huko chimbuko la wamama Wamanyema wa KariakooCongo ya Mashariki,Bukavu,Uzira,Goma,Maniema ,kindu, Tanganyika,huo ukanda ni ukanda wa ziwa Tanganyika ni kama Pwani Yao, Wana muingiliano na waswahili
Kuwa serious mkuu. Mkongo kuja kumzidi mkenya kiswahili ni ngumu. Kiswahili chao wanakichanganya ni mixer kifaransa na lingala kwenye sentensi. Anaweza ongea usielewe kitu.Mmhh mi naona Mkongo ana kiswahili kizuri kumzidi mkenya itakuwa haujawasikia vzr
Mkuu nakuunga mkono. Wakongo wengi kwa sasa wanajua lingala, kiswahili na kifaransa huku wakijifunza kiingereza kwa wivu mkubwa. Nina rafiki yangu Lubumbashi anacharaza Lingala, Kiswahili, kifaransa na kiingereza. Wabongo wengi tunajua kiswahili tu.Mm nawapongeza wakongo kwakupambana kujua lugha NYINGI zaidi na hii ndyo inayowapa confidence ya kutoogopa kuvuka mipaka nje ya nch Yao kutafuta maisha popote Dunian
Sisi tunauoga SANA wakutoka nje sabau ya lugha waliojaribu kutoka wengi walirud nyumban ukiwauliza wanasema upweke umewarudisha nyumban lakn behind the scene mawasiliano kwao ndio kikwazo kikubwa wanabak kuwa mabubu
Na sisi n wakat wa kufundisha lugha MBALIMBALI Toka darasa la awal lugha kama kifaransa kiingereza na hata kireno na kihispaniola kiwe muhimu kisoma hii itapelelea vijana wengi kufungua fikra na kwenda maeneo MBALIMBALI kutafuta rizik