Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #41
Kweli kabisa, na Mimi nimeshawahi sikia kauli kama hiyo toka Kwa mwanamke,halafu baadae unashangaa anatembea na huyo ambaye anamsema hampendi,hatar sana"Yani huyo kaka simpendi jamani" alafu akimuona na huyo kaka yupo na mwanamke mwingine anaumia roho analia
"Yani mbona we huwapendi ndugu zangu" wakati hao ndugu zake wakilia shida huyo mwanaume ndo wa kwanza kuwasaidia.
Yani wanawake ni vinyonga ni upepo wa kisulisuliKweli kabisa,na Mimi nimeshawahi sikia kauli kama hiyo toka Kwa mwanamke,halafu baadae unashangaa anatembea na huyo ambaye anamsema hampendi,hatar sana
Biblia imewataka wanaume waishi na wake zao kwa akili. Ukiona ndoa haieleweki ujue mwanaume hana akili. Sio maneno yanguπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈHivi akili anapaswa awe nazo mwanaume tuu au mpaka mwanamke?
#YNWA
Hujajibu swali...Biblia imewataka wanaume waishi na wake zao kwa akili. Ukiona ndoa haieleweki ujue mwanaume hana akili. Sio maneno yanguπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Depal nimekumicNyoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha ukorofiBiblia imewataka wanaume waishi na wake zao kwa akili. Ukiona ndoa haieleweki ujue mwanaume hana akili. Sio maneno yangu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nipo mkuu, niaje?Depal nimekumic
Unanionea bureAcha ukorofi
Akili za mume zinatosha,..mke atatumia akili za mumeπHujajibu swali...
TURUDI KWENYE SWALI.
Majibu tafadhali
#YNWA
kwa jinsi ulivo!!! Akili lazima ije tu.....kwanza nikitembea na weye huwaga nacheka cheka tu km zuzu...Ni hadi ujue kuishi nao kwa akili, sasa unakuta mtu akili zero